pmwasyoke
Platinum Member
- May 27, 2010
- 4,991
- 3,807
Mimi nipo Mbezi Luguruni bado naona mabomu yanaendelea kulipuka. Na Jamaa zangu siwapati wanaokaa maeneo ya Gongo la Mboto. Tumwombe MUNGU awanusuru Ndg. Zetu
Amina
Mimi nipo Mbezi Luguruni bado naona mabomu yanaendelea kulipuka. Na Jamaa zangu siwapati wanaokaa maeneo ya Gongo la Mboto. Tumwombe MUNGU awanusuru Ndg. Zetu
Mabomu yanalipuka Gongo la Mboto polisi....
Taarifa zaidi kufuatia.
UPDATES: (by Invisible)
1. Hali ni mbaya jijini Dar, nyumba zinabomoka, watu wanakimbia ovyo!
2. Barabara ya Nyerere haitembei (kama unafikiria kwenda uwanja wa ndege ahirisha mapema), magari yameingiliana watu wanakimbia ovyo mitaani na barabarani kulikimbia eneo la maafa.
3. Dalili zinaashiria mabomu ni mengi zaidi na milipuko itaongezeka, kuna uwezekano wa kupoteza raia na watumishi (wanajeshi) wengi kufuatia milipuko hii
4. Watu kadhaa wamekufa kwa kugongwa na magari
5. Mnadhimu Mkuu wa JWTZ, Luteni Abdulrahman Shimbo amesema:
"Hali ni mbaya Kikosi namba tano maghala yamelipuka ni hatari, watu wahame, maghala yako karibu karibu sana, tunaomba wananchi wahame sasa hivi, tunajitahidi kuzuia moto unaotokana na hilo unaweza kwenda mbali sana hadi Kilomota kumi, wananchi walioko karibu na maghala ya kikosi Gongo la Mboto wasogee mbali sasa hivi.
6. Picha ya tukio kwa mbali sana...
![]()
Mie nipo hapa mazimbu mara ya kwanza ni kishindo kiligonga radi c radi lakini milio iliyofuata ni kawaida ndo hapo nika associate na hyo taarifa maana c kawaida may be tusuburi asubuhi watasema nini.
MWAMUNYANGE NA MWINYI WASIPOJIUZULU KESHO NITAJUA KWELI VIONGOZI WA AFRIKA HAWAAMBILIKI!
Haya mabomu yatakuwa ni yale ya enzi za mkoloni, na huenda ni mabaki ya yaliyotumika wakati wa vita ya pili ya dunia!
Tanzania haikaliki tena Mungu wangu.Watanzania lazima tuamke na kusema no to the Freemasons in Tanzania. Whatever is happening is their work by remote control. Kama hatuta amka we are finished.My fellow Tanzanians please, please work up.These people have infiltrated every institution and have vowed to bring mayhem towards 2012.Hizi ni strategy za kizamani sana za ku-enslave.
Ndio maana memba mmoja kapendekeza haya maghala ya silaha yawe jirani na ikulu!Pengine akifa na mkuu mmoja au wawili wataelewa nini thamani ya Maisha ya Mtanzania Mmoja. Mungu tusaidie
Mi natamani kama yangekuwa yamejengwa karibu na makazi ya rostam,kikwete,lowasa,makamba,mwema,Andengenyekwa nini haya maghala hayakujengwa karibu na ikulu?
wadau naingia jamvini muda huu nikiwa ni muathirika wa mambomu na nilikuwa huko na ndipo napoishi, nimeendesha gari pasipo kujijua na sijui nyumba yangu itasalimika ama la, imenilazimu niingie jamvini niwape hali halisi na si kuhadithiwa, NI HATARI SAANA WADAU.
Sasa rasmi ninailaani serikali hii, ni adha kubwa na nimeiharibu mpaka gari kwa hamaki ya kuinusuru my family.

Pengine akifa na mkuu mmoja au wawili wataelewa nini thamani ya Maisha ya Mtanzania Mmoja. Mungu tusaidie