Mnyika: Kuna njama Polisi kujiandaa kutumia silaha na nguvu kisingizio cha kudhibiti vurugu zilizotengenezwa kesho target ni viongozi wa CHADEMA

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,945
Reaction score
2,984
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, akijibu swali la Mwandishi leo Juni 10, 2026 kuhusu taarifa ambazo chama hicho zimeeleza kuwa kufuatia kusikilizwa kwa kesi ya Tundu Lissu kesho Polisi inajiandaa kushambulia wanachama na viongozi wa CHADEMA kwa kisingizio za taarifa za uongo kwamba CHADEMA wanajaribu kumuokoa Lissu

"Umeuliza sasa hizi taarifa za kiintelijensia, huu mpango huu ni ni polisi ngazi ipi? Ni je ni Jeshi la Polisi lote? Au ni baadhi?

Katika hatua hii wakati tunafuatilia taarifa zaidi, tunabebesha hili zigo la huo udhalimu na hiyo haramu inayopangwa kufanyika kesho kwa kanda maalumu Dar es Salaam na na mkoa wa kipolisi wa Ilala na na wilaya zake zinazohusika na eneo hilo la la mahakama hizi mbili; mahakama, Mahakama ya Rufaa ambayo iko pale Kivukoni, na Mahakama Kuu ambayo iko na yenyewe Kivukoni lakini zikiwa zimetenganishwa katikati na na hoteli ya Kilimanjaro, Kempinski pale.

Kwa hiyo wale ambao wanalitawala lile eneo kipolisi ndio ambao kwa sasa ah tunatuhumu kuhusika na njama za; kwanza kuna njama za kutengenezwa kwa vurugu pale, lakini pili kuna njama za polisi kujiandaa kutumia silaha na nguvu kwa kisingizio cha kudhibiti vurugu zilizotengenezwa, lakini target ikiwa ni kushughulikia viongozi na wanachama wa CHADEMA."
 
Polisi wamepanga kumuua Lissu kesho kwa kumpiga risasi kisha watasema ni wanachadema ndiyo wamempiga katika jaribio la kumchukua kwa nguvu mikononi mwa askari magereza. Huu mpango umeratibiwa kitambo na ili kuhalalisha hilo wiki moja iliyopita walivunja duka la mfanya bishara wa vifaa vya Chadema na kuvipora, hivyo polisi, TISS na Uvccm watavishwa nguo hizo kisha wataanzisha vuru halafu polisi watafyatua risasi kumlenga Lissu na kumuua. Njama hii imepangwa baada ya kuona hawana ushahidi wa kutosha kuishawishi mahakama imhukumu kunyongwa hadi afe, kama kawaida yao wameamua kuchukua shortcut .
 
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), akijibu swali la Mwandishi leo Juni 10, 2026 kuhusu taarifa ambazo chama hicho zimeeleza kuwa kufuatia kusikilizwa kwa kesi ya Tundu Lissu kesho Polisi inajiandaa kushambulia wananchi kwa kisingizio za taarifa za uongo kwamba CHADEMA wanajaribu kumuokoa Lissu
"Umeuliza sasa hizi taarifa za kiintelijensia, huu mpango huu ni ni polisi ngazi ipi? Ni je ni Jeshi la Polisi lote? Au ni baadhi?

Katika hatua hii wakati tunafuatilia taarifa zaidi, tunabebesha hili zigo la huo udhalimu na hiyo haramu inayopangwa kufanyika kesho kwa kanda maalumu Dar es Salaam na na mkoa wa kipolisi wa Ilala na na wilaya zake zinazohusika na eneo hilo la la mahakama hizi mbili; mahakama, Mahakama ya Rufaa ambayo iko pale Kivukoni, na Mahakama Kuu ambayo iko na yenyewe Kivukoni lakini zikiwa zimetenganishwa katikati na na hoteli ya Kilimanjaro, Kempinski pale.

Kwa hiyo wale ambao wanalitawala lile eneo kipolisi ndio ambao kwa sasa ah tunatuhumu kuhusika na njama za; kwanza kuna njama za kutengenezwa kwa vurugu pale, lakini pili kuna njama za polisi kujiandaa kutumia silaha na nguvu kwa kisingizio cha kudhibiti vurugu zilizotengenezwa, lakini target ikiwa ni kushughulikia viongozi na wanachama wa CHADEMA."
Mnyika we ni nani mpk usikilizwe? Tunasikiliza jeshi la polisi ndiyo walinzi wa raia na mali zao, tusiposikiliza intelijensia ya polisi tukusikilize wewe? Acha utapeli mnataka kurudia yale ya tarehe 29 Oktoba 2025? Ni kweli mtakuwa mna mpango wa kumtorosha Lissu, mkatii maelekezo ya jeshi la polisi vinginevyo msijetafuta wa kumlaumu
 
Polisi ndiyo wezi namba moja,mpaka pesa zao za kufa na kuzikana wanaibiana wenyewe.
 
Polisi wamepanga kumuua Lissu kesho kwa kumpiga risasi kisha watasema ni wanachadema ndiyo wamempiga katika jaribio la kumchukua kwa nguvu mikononi mwa askari magereza. Huu mpango umeratibiwa kitambo na ili kuhalalisha hilo wiki moja iliyopita walivunja duka la mfanya bishara wa vifaa vya Chadema na kuvipora, hivyo polisi, TISS na Uvccm watavishwa nguo hizo kisha wataanzisha vuru halafu polisi watafyatua risasi kumlenga Lissu na kumuua. Njama hii imepangwa baada ya kuona hawana ushahidi wa kutosha kuishawishi mahakama imhukumu kunyongwa hadi afe, kama kawaida yao wameamua kuchukua shortcut .
Mmmmmm
 
Wakirudia kosa kumpiga Tundu Lissu risasi tena Tanzania haitakalika na kutawalika tena.

Bahari ya Hindi na miji mkubwa yote itafunikwa na kujaa damu za watu.

Wasifikirie kabisa kurudia kosa hilo.
 
Mnyika we ni nani mpk usikilizwe? Tunasikiliza jeshi la polisi ndiyo walinzi wa raia na mali zao, tusiposikiliza intelijensia ya polisi tukusikilize wewe? Acha utapeli mnataka kurudia yale ya tarehe 29 Oktoba 2025? Ni kweli mtakuwa mna mpango wa kumtorosha Lissu, mkatii maelekezo ya jeshi la polisi vinginevyo msijetafuta wa kumlaumu
Unasikiliza wewe na nan? Jisemee wewe mwenyew!! Kwanza CDM hawana uwezo wa chochote kumtorosha lissu acheni mamb ya hovyo?!
 
Back
Top Bottom