Huyu ni George aliyepigwa risasi Gongo la Mboto

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
2,937
Reaction score
5,537
Kijana akieleza kwa machungu kisa kilichumpata hadi kukatwa mguu wake alipigwa risasi akiwa maeneo ya gongo la mboto kisha kapelekwa hospital na kukatwa mguu alikuwa na pikipiki polisi waliondoka nayo hadi leo hajui pikipiki yake ilipo.

Wamemyia ukilema kijana wa watu hawezi tena kufanya kazi familia inamtegemea ni machungu kiasi gani hadi kijana analia sana.

SSH unaua ili ukae madarakani kumbuka madaraka yanamwisho wake.

FB_IMG_1768822730100.jpg
 
Mkuu mbona unaandika kama una hemewa kwa nyuma?
Embu tulia andika maelezo vizuri utafikiri huyo George tunamjua wote humu.!
 
Kuandika matusi sio ujanja. Andika hoja kwa lugha nzur. Sisi tutajua how clever you are. Asante
 
Mkuu mbona unaandika kama una hemewa kwa nyuma?
Embu tulia andika maelezo vizuri utafikiri huyo George tunamjua wote humu.!
Wafuta bangi hua sipotezi muda soma kisha ishia mshamba wewe
 
Kijana akieleza kwa machungu kisa kilichumpata hadi kukatwa mguu wake alipigwa risasi akiwa maeneo ya gongo la mboto kisha kapelekwa hospital na kukatwa mguu alikuwa na pikipiki polisi waliondoka nayo hadi leo hajui pikipiki yake ilipo.

Wamemyia ukilema kijana wa watu hawezi tena kufanya kazi familia inamtegemea ni machungu kiasi gani hadi kijana analia sana.

SSH unaua ili ukae madarakani kumbuka madaraka yanamwisho wake.

Ndo maana nawachukia san awale majambazi wamesababisha haya yote bila wao kuanza polisi wasingetumia nguvu kidogo kama hii
 
Gayizi huyu ni raia toka nchi gn aliyekuwa kwny maandamano? Maana tuliambiwa walitoka nje ya nchi.
 
Inasikitisha sana, mungu anibariki siku nikikutana na samuya napita na kichwa chake angani.
 
Back
Top Bottom