M-bongotz
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 1,736
- 411
Tujuzeni wakuu,mnashindwa kutofautisha radi na milipuko?
Usitulaumu mkuu,hatuishi Iraq sisi,hatujazoea sauti za milipuko, so usione ajabu kufananisha na radi
Tujuzeni wakuu,mnashindwa kutofautisha radi na milipuko?
ni kweli lazima kuna mtu atakuwa anayachokonoa tuu ina maana mwaka jana na mwaka huu ndio ywameanza kuozaLazima kuna mtu anayachokonoa maksudi au labda mabomu ya ki-expire yanalipuka yenyewe? Manake nashindwa kuelewa miaka yote hio ndio yaje kulipuka mwaka jana na mwaka huu kwa mfululizo?
Hile ripoti ya mbagala ilikuja na sababu gani sijui ,kama mtu anaijua naomba jibu tafadhali.
Maombi yangu yote kwa watanzania wenzangu Mungu hawalinde popote mlipo.
kwa nini haya maghala hayakujengwa karibu na ikulu?
Huyu mtoto wa mwinyi sasa imefika wakati wake wa kutuachia wizara yatu
Naona sasa yametulia sisikii tena mlipuko
wadau naingia jamvini muda huu nikiwa ni muathirika wa mambomu na nilikuwa huko na ndipo napoishi, nimeendesha gari pasipo kujijua na sijui nyumba yangu itasalimika ama la, imenilazimu niingie jamvini niwape hali halisi na si kuhadithiwa, NI HATARI SAANA WADAU.
Sasa rasmi ninailaani serikali hii, ni adha kubwa na nimeiharibu mpaka gari kwa hamaki ya kuinusuru my family.
Tanzania haikaliki tena Mungu wangu.Watanzania lazima tuamke na kusema no to the Freemasons in Tanzania. Whatever is happening is their work by remote control. Kama hatuta amka we are finished.My fellow Tanzanians please, please work up.These people have infiltrated every institution and have vowed to bring mayhem towards 2012.Hizi ni strategy za kizamani sana za ku-enslave.
mimi nahisi hii mvua ya ghafla ndiyo iliyosababisha mabomu ku detonate ...labda paa la ghala la mabomu linavuja
Milipuko ya Mbagala Serikali walisema RAIA WALIJENGA KARIBU NA MAENEO YA JESHI KWA NGUVU NA WAKASHAURIWA WAHAME.
Tunataka KESHO ASUBUHI UTANGAZE KUJIUZULU KAZI YA JESHI IMEKUSHINDAAAAAAAAAAAAAAAAAA!
- Je,kwako Mhe. Dr. Mwinyi Waziri wa Ulinzi HAWA RAIA WA GONGO LA MBOTO NAO WAMEHAMA KUYAFUATA MABOMU AU MABOMU YAMEWAFUATA RAIA?????
- Kama milipuko ya Mbagala mliona TATIZO NI RAIA KUWA KARIBU NA MAENEO YA JESHI KWANINI HAMKUWAHAMISHA RAIA WOTE WALIOKARIBU NA MAENEO YA JESHI HASA MAGHALA YA JESHI(ARMOURY)?
Tunakuomba kwa heshima na taaadhima ujiuzulu kufuata nyayo za Babako mzee Mwinyi aliyejiuzulu miaka ile ya 70s kuwajibika alipokuwa Waziri wa Mambo ya NDANI. Itakujengea heshima kama babako na pengine ukaukwaa Urahisi wa Zanzibar na baadaye Bara kama babako.
Kazi kwako.
ningeshukuru ingekuwa hivyoyanasubiri FFU wajae zaidi karibu na ghala ndo yaanze tena
Kweli inabidi ufafanuzi hapa namna freemasons walivyo/wanavyo husika na tukio hili.Sijaelewa hapo kwenye red na matatizo yetu inawezekana tunapigana vita moja lakini wengine hatuwajui vizuri adui zetu, ebu fafanua, unaruhusiwa kuni-PM