Mabomu yanalipuka Gongo la Mboto polisi....
Taarifa zaidi kufuatia.
UPDATES: (by Invisible)
1. Hali ni mbaya jijini Dar, nyumba zinabomoka, watu wanakimbia ovyo!
2. Barabara ya Nyerere haitembei (kama unafikiria kwenda uwanja wa ndege ahirisha mapema), magari yameingiliana watu wanakimbia ovyo mitaani na barabarani kulikimbia eneo la maafa.
3. Dalili zinaashiria mabomu ni mengi zaidi na milipuko itaongezeka, kuna uwezekano wa kupoteza raia na watumishi (wanajeshi) wengi kufuatia milipuko hii
Tanzania haikaliki tena Mungu wangu.Watanzania lazima tuamke na kusema no to the Freemasons in Tanzania. Whatever is happening is their work by remote control. Kama hatuta amka we are finished.My fellow Tanzanians please, please work up.These people have infiltrated every institution and have vowed to bring mayhem towards 2012.Hizi ni strategy za kizamani sana za ku-enslave.