Sauti za milipuko zimetulia kidogo.
picha kwenye hii giza nene mzee au kwenu mna uafadhali fulani??????????
Eti msemaji wa jeshi kasema wakae maeneo ya mabondeni, mh! Source: Channel 5
Kwa serikali ya JK wanavyopena kubebana kujiuzulu wanaona kama vile sio hatua sahihiJamani, mnakumbuka mwinyi alisema atajiuzulu? Khe khe.... Hafanyi hihyo.... Ni kinyume na maumbile
Pole sana.....
Yaani ule upuuzi wa Mbagala umejirudia????
Vipi kuhusu INTELIJENSIA YA IGP MWEMA haijaweza kubaini hiyo milipuko???
Vipi kuhusu ULINZI shirikishi???
Yaleyale ya RICHMOND/DOWANS,umeme wa DHARURA. Kila kitu ni dharura kwa Tanzania.
Hapo ndipo tunapozidi kujua UDHAIFU WA SERIKALI YA CCM. Kuwa hawa jamaa hawana akili kabisa na wala huwa hawapendi kufikiri. Kwanini baada ya matukio ya Mbagala hawakuchukua TAHADHARI ya kufanya ukaguzi wa ARMOURY ZOTE KAMA KUNA HATARI MILIPUKO MINGINE KAMA HII??
Safari hii tunataka WATU TUANDAMANE NCHI NZIMA KUSHINIKIZA DR. MWNYI ajiuzulu. Last time Mbagala alikomaa kuwa HAWEZI KUACHIA NGAZI. This time tuseme basi!!!!! You poor Tanzanians wake up please! Acheni kuzubaa,watakaouwawa na hayo mabomu ni ndugu zenu,jamaa zenu na rafiki zenu!!!
ANGALIZO: Nahisi kama vile kuna njama ya kulipua makusudi haya MABOMU ili kuwafanya Watanzania wasahau sakata la DOWANS NA MGAWO. Kwamba wakti watu wanatafakari hayo Maboumu ya G/Mboto MAFISADI WAPATE NAFASI YA KUKAMILISHA MIPANGO YAO YA KULIPA ILE 94b/=kwa DOWANS na wakti huohuo WAKIENDELEA KUWASHA MITAMBO YAO(DOWANS)!!!!!!
hivi, hii nchi ina boyfriend?
Husihofu probably ni network connection mbovu na kipindi hiki sio rahisi mtu kusikiliza simu
Thubutu...waachie ngazi? Hakuna kitu kama hicho! Kibaya zaidi hata hivyo vikosi vya uokoaji sijui kama vinafanya kazi.Nitashangaa kama baadhi ya watu hawataachia ngazi hata kwa jambo kama hili. Ni maboom yanaendelea kulipuka hadi sasa. Eti wanatushauri tukakae mabondeni wakati hata hawasemi yataisha saa ngapi. Jamani hii ni serious sana wananchi hawana cha kufanya wala hamna directions zozote za maana kutoka kwa wahusika.
I see, pole sana mkuu!mimi naishi huko na namshukuru Mungu nimeiokoa familia, WANAJAMII SIJIELEWI NA HALI NI MBAYA SANA, TUWAOMBEENI WENZETU. NIMEENDESHA GARI BILA KUJIELEWA KUIOKOA MY FAMILY,, TUONEENI HURUMA. nchi hii siielwewi kabisa.
am strongly condemning to the current govt of Tanzania kwa adha iliyotufika.
What's that in red?Hali ni mbaya watu wanakimbia hovyo, emergency team iko wapi? So sad kwa watoto na wamama.
hivi, hii nchi ina boyfriend?
Follow this link by January Makamba Yfrog Photo : yfrog.com/gzobhbdj - Shared by JMakamba about DSM sky now