MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,588
Awa wakazi wa Gongolamboto ambao at this time wapo Tazara,nna washauri waendelee mojakwamoja mpaka Ikulu.wakomae apo mpaka serikali iwathibitishie kama longolongo za Mbagala azitotokea kwao vinginenvyo wameliwa
Nafikiri huu ni ushauri mzuri sana .........hivi wananchi hatuweziungana na kuupinga uzembe huu?? Tuwawajibishe wahusika.......... (mbona wanachuo wanadare?? ...........ah Tuandamane bana wawajibishwa hawa...........!!