kuna kipande cha bomu kimetua ubungo mpaka magari yaelekeayo barabara ya morogoro yalitikisika.watu wa tabata waliliona likipita!MWAMUNYANGE NA MWINYI WASIPOJIUZULU KESHO NITAJUA KWELI VIONGOZI WA AFRIKA HAWAAMBILIKI!
Mbona hayaishi jamani, nyumba yangu iko hatarini watoto wanalia. Ni mazito mno
hivi maji ya kuwasha hayawezi kuzuia mabomu kulipuka ... au ni kwa ajili ya kuwatesa wananchi tuu
mi natamani kama yangekuwa yamejengwa karibu na makazi ya rostam,kikwete,lowasa,makamba,mwema,andengenye
Ahahahahaaah!! Wazo zuri sana hiliAwa wakazi wa Gongolamboto ambao at this time wapo Tazara,nna washauri waendelee mojakwamoja mpaka Ikulu.wakomae apo mpaka serikali iwathibitishie kama longolongo za Mbagala azitotokea kwao vinginenvyo wameliwa
wakaokoe wate waache ujinga..wanajeshi wanasema uchunguzi ukishafanyika ndo watajua chanzo cha mlipuko