Get Well Soon Kipipi

Asanteni sana wapendwa kwa faraja na maombi yenu.
Leo kwakweli nimeamka vizuri walau kamwili kana nguvu.
Bless upon you all dears.
 
Pole sana mtegemewa wangu (nilikupenda uka Erickb52 akakuwahi
Pole sana Kipipi ugua pole na mimi naumwa kwa kuumwa kwako
 
Last edited by a moderator:
Asanteni sana wapendwa kwa faraja na maombi yenu.
Leo kwakweli nimeamka vizuri walau kamwili kana nguvu.
Bless upon you all dears.
Ooooh
afadhali upone namimi nitapona.
 
Babu Asprin subiri kwanza apone maana ukaguzi kwa sasa haufai.
Labda umkague Asnam yeye hajagauliwa na anasema bado mbiiiiichi kabisa

mi tayari nimekaguliwa sekta zote hiyo ya ubichi iliwekwa kwenye makumbusho ya taifa ya chit chat hadi further notice.
 
Orayt.... Asnam kam zis wei fasta kabla jua halijazama. Ni mimi tu nimebakia, ni mimi tu kukukagua.

mi unikague mara ngapi ww,au umemiss ule ukaguzi ulivyokuwa babu kubwa.............
 

nakutazama tu unavyoruka sarakasi zako,siku ukipewa kichapo heavy sitajitikisa kukutetea ww.
 
heeee
kijana umerudi?
Lol ling time aiseee
Huyo Asnam labda wa kuchora
ujue mi namuangalia tu nione mwisho wake.............................hajui nimesomea karate nikimpiga ngumi moja ya kibeijing sitaki lawama zimfikie Baba V
 
Last edited by a moderator:
nakutazama tu unavyoruka sarakasi zako,siku ukipewa kichapo heavy sitajitikisa kukutetea ww.

Vipi ile gemu ya jana..............Mtoto una style matata, eti inaitwa "Blackberry"
 
Vipi ile gemu ya jana..............Mtoto una style matata, eti inaitwa "Blackberry"

unatafuta ban ww...........................mi ni shabiki wa Yanga sijui hiyo blackberry ndo vidudu gani....nakuona unavyotamani hata siku moja usikie nimekumiss lakini wapiiiiii loh badili mwelekeo :heh:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…