Asnam
JF-Expert Member
- Jan 18, 2012
- 4,256
- 2,949
Hamna wa kukuchana na viwembe...!!
aaah wapi najua una kafoleni kakisimama kanaanzia mbagala hadi kimara stop over
Hamna wa kukuchana na viwembe...!!
aaah wapi najua una kafoleni kakisimama kanaanzia mbagala hadi kimara stop over
Usidanganywe na watu, ukiskia Mr. Clean ndo mimi, sina kashfa yoyote zaidi ya kumdhulumu konda nauli maramoja tu...
mi mwenyewe nimemshtukia ila nataka nipate uhakika kabisa kama hisia zangu ni sahihi au lah
Kwani chako?
Hahahahaaa una hasira za kumkosa Mrembo by Nature ? ladyfurahia ? Catherine ? au nani?
Kijiwe wapi Passion Lady ?
haya kuhusuuuuuuu...... mniache nipumuwe, ooh! niko busy na baby jamani nimeisha sema