Get Well Soon Kipipi

Get Well Soon Kipipi

Halafu hivi huyo kaka yako mbona muhuni sana?
Yan kila mwanamke humu ndani ni wake nahisi alobaki ni wewe tu dada yake...je ana matatizo gani?
Namuona mara yuko na Mrembo by Nature mara ladyfurahia mara nanii mara yule lol
Mwambie atazeeka meeen!
unamsingizia mie nina wifi mmoja tu,hao wengine wanajigonga wenyewe........mtake radhi tafadhari
 
mmmmh sitaki kwenda kumbe mambo yenyewe ndo hayo,bora nibaki huku huku kishumundu.
Nenda ukaperuzi na kudadisi yanayojiri chini ya pichuz kwikwikwiii
Ila usiende mwaya hadi utakapopata pa kujisitiri sawa mtoto mzuri eeeh
 
We kwani chako au umehifadhi tu
Ni chetu wote kwa taarifa yako
Hahahahaaa nilipoona umelike tu nikajua ushaamka lol sijui ulikuwa unaiba small hausi maana tangu asbh sijakusoma yan no network coverage kabisa
 
unamsingizia mie nina wifi mmoja tu,hao wengine wanajigonga wenyewe........mtake radhi tafadhari
Hahahaaaa huyu jamaa ni mtoto eti na kamwe sifuti kauli yangu coz hata dada yake beibe nasty anajua haya!
 
Last edited by a moderator:
mmmmh najikalia pembeni kuepusha msongamano.
Iga mfano wangu please.
Nakumbuka siku niliyoenda lol nilikutana na watu wanamaneno wewe teh
Utadhani keyboards zinajitype zenyewe hahaaaa
 
Halafu hivi huyo kaka yako mbona muhuni sana?
Yan kila mwanamke humu ndani ni wake nahisi alobaki ni wewe tu dada yake...je ana matatizo gani?
Namuona mara yuko na Mrembo by Nature mara ladyfurahia mara nanii mara yule lol
Mwambie atazeeka meeen!

Sema taratibu utaniharibia ujue nimekula vya manoah akijua hili ataniambia nilipe wakati si kweli mimi niko single
 
Last edited by a moderator:
Iga mfano wangu please.
Nakumbuka siku niliyoenda lol nilikutana na watu wanamaneno wewe teh
Utadhani keyboards zinajitype zenyewe hahaaaa

nasikia pande hizozwatu watype kama mishipa ya aibu imekatika hahahahaha
 
Khaaaa
Yan huwa naimagine wakiwa nyumbani mwao wanakuwaje?
Utakuta wengine wapoleeeeee hahahaaa
Chezea keyboard na jina fake?
 
Sema taratibu utaniharibia ujue nimekula vya manoah akijua hili ataniambia nilipe wakati si kweli mimi niko single
Hahahahaa mbona unalalamika alikuahidi full Network Coverage ila ukaishia No Network Connection na ushaagiza chipusi?:embarassed2:
 
Khaaaa
Yan huwa naimagine wakiwa nyumbani mwao wanakuwaje?
Utakuta wengine wapoleeeeee hahahaaa
Chezea keyboard na jina fake?

hahahahaha ukute naww ndo mambo yako hayo
 
Hahahahaa mbona unalalamika alikuahidi full Network Coverage ila ukaishia No Network Connection na ushaagiza chipusi?:embarassed2:

Kabla ya mtoko wa juzi tulishatoka kimya kimya weee ilikuwa bab kubwa, ila aliniboa tu kujisifia eti baba yake ni trilionea hapa, sijui tunaenda dubai na mengine mengi kibao. Ila sina uhakika kama hyo trip ya dubai itakuwepo tena kwa haya yaalotokea juzzi
 
Hahahahaaa ana Swaga kijana...so nawewe ukaingia mzimamzima?
 
hii inadhihirisha leo hujalala nyumbani sijui umelala kwa Chocs,kapata nafuu kidogo ila ukiongeza pesa ya soup atapona kabisa..
Asnam acha tu...waliosema ndoa ndoano hawakukosea
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom