Chocs
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 8,447
- 4,842
Hahahahahahadawa yake mvalishe kufuli la chuma funguo kaa nazo mwenyewe....nasikia ana ugonjwa na hivi vitu:A S kiss::A S kiss:
Hope litamfaa sana
Hahahahahahadawa yake mvalishe kufuli la chuma funguo kaa nazo mwenyewe....nasikia ana ugonjwa na hivi vitu:A S kiss::A S kiss:
Hahahahahaha
Hope litamfaa sana
Mi ninachojua umemwaga ukahamia zako Airtel ( Excellent )naona sasa kaka umenichoka sana atena sana majuzi tu nilikualika kwenye party ya birthday yangu pantoniki kwa mumewangu laazizi swahiba wa moyo@Mentor ukaja huku meno yote yako nje kwa furaha tele tena leo umeniwekea uzi hapa? UMENICHOKA asante siwezi ongea sana mm namwachia Mungu
sitaki kuamini kaka unanipeleka machinjioni mchana kweupeeee................
Okey ni jambo jema kusikia anaendelea vema....!
Pitia basi hapa kwangu uchukue walau kapesa ka kuku!
Halafu unamuita Chocs aisee siunajua ana wivu sana nitashindwa kummembeleza mgonjwa wangu!