Hahahaaaaa
Utacopy sana ila mi na Kipipi ni km gari na matairi yan hayaachani labda life
siwezi kumwacha Mentor hata ashuke malaika mbinguni kwani ndiye aliyenifundisha njia ya dunia hii na ndiye aliyenileta mjini wwe thubutuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Hahahahaaaa
umenogewa ladyfurahia
Umemuuliza Mentor kuhusu Mariam!?
Hahahaaaaa
Utacopy sana ila mi na Kipipi ni km gari na matairi yan hayaachani labda life