Get Well Soon Kipipi

Get Well Soon Kipipi

Baba V na wewe mwenyekiti unawatamani raia wako?
Lol nilidhani baba wa nyumba anakuwa na heshima kwa wanafamilia ila naona unavizia mabinti wako lol
Angalia usijeishia hadi kwa Mahausi geli

Wakati flani inahitajika kujiridhisha kama mali zinazopita mikononi mwangu ni orijino au la, hasa kipindi hiki ambapo Asprin amekuwa mzembe kwenye ukaguzi...
 
Last edited by a moderator:
Wakati flani inahitajika kujiridhisha kama mali zinazopita mikononi mwangu ni orijino au la, hasa kipindi hiki ambapo Asprin amekuwa mzembe kwenye ukaguzi...
Tafuta mwingine sio Chocs
Na ukiendelea nakichukua cheo chako sasa hivi....oooh hunijui eeeeh mi ndio b52 aisee
 
Last edited by a moderator:
Kweli una kismati aisee...
Ila najua kucare siunaona niko na Kipipi namuuguza hapa hata kazini sijaenda...then unadhani ataacha kunipenda kwa miguu yake yote?
 
Ila najua kucare siunaona niko na Kipipi namuuguza hapa hata kazini sijaenda...then unadhani ataacha kunipenda kwa miguu yake yote?

Nadhani siku ukiachwa unaweza ukahama mji hahaah...angekuwepo Vin Diesel ningemuomba afanye fitna kidogo walau ubakie na mmoja
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom