Unstoppable
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 1,046
- 387
- Wewe ni msomi, so unapaswa kuelewa effect za binadam waliozoea kuishi kwenye failed policies, akiondoka kiongozi wa zile poilicies itawachua muda mrefu sana kuanza kujiamini, maana tatizo kubwa la kuzoea kuishi kwenye failed policies ni unapoteza kujiamini!
William.
William inawezekana uko sahihi. Lakini pia inawezekana hao waliobaki hawana/hawajaweza kufikiria "alternative" nyingine tofauti na zile policies walizoachiwa (have nothing to offer). Inawezekana pia walim-value kiongozi yule sana kwahiyo kila alilopendekeza lilikuwa sahihi; na litaendelea kuwa sahihi regardless ya muda hivyo, hawaoni umuhimu wakuzibadilisha. Policies za wakati ule inawezekana zilikuwa nzuri kwa wakati ule; lakini kwasasa zimepitwa na wakati. Je uongozi au CCM ya sasa ina policies mpya zaku-replace hizo zilizopitwa na wakati? Ni ngumu kuwaelimisha watu wakatae kitu walichokizoea wakati huna kipya cha ku-compare/kureplace kile walichonacho.