Gen Z watangaza maandamano makubwa 29/10/2026

Hii nchi sijui kama itapoa. Kufatia serikali katili ya CCM kuua watanganyika zaidi ya 3000 na kuwazika kwenye kaburi la halaiki, na kuacha mamia ya vijana wakiwa na ulemavu wa kudumu. Mambo hayajaisha

Gen Z wamesema kisasi lazima kilipwe, Gen Z wametangaza maandamano makubwa nchi nzima haijapata kutokea. Ni tarehe 29/10/2026. Ni katika kuwakumbuka ndugu zao waliouawa mwaka mmoja uliopita.

Gen Z watatumia maandamano ayo kumfata Lissu gerezani, vijana Wana hasira, wamesema liwalo na liwe.

Tukutane 29/10/2026.

Aione
CiC

Mto wa mbu
Illinois-USA
Tunaomba vipeperushi vianze kubandikwa mapema sana!!Vuguvugu lisichelewe
 
Sacrilege.
Ile ni birthday ya Magufuli.
Kama wanataka kufanya maandamano,I suggest December 8.

Waliokufa October 29, wamekufa.
Lile jambo haliwezi kufufuliwa.
 
Hii nchi sijui kama itapoa. Kufatia serikali katili ya CCM kuua watanganyika zaidi ya 3000 na kuwazika kwenye kaburi la halaiki, na kuacha mamia ya vijana wakiwa na ulemavu wa kudumu. Mambo hayajaisha

Gen Z wamesema kisasi lazima kilipwe, Gen Z wametangaza maandamano makubwa nchi nzima haijapata kutokea. Ni tarehe 29/10/2026. Ni katika kuwakumbuka ndugu zao waliouawa mwaka mmoja uliopita.

Gen Z watatumia maandamano ayo kumfata Lissu gerezani, vijana Wana hasira, wamesema liwalo na liwe.

Tukutane 29/10/2026.

Aione
CiC

Mto wa mbu
Illinois-USA
Ohooooooo!!!
 
Uko marekani halafu unasema Gz wamesema!
Kwa maana nyie ndo mnawachochea vijana wafanye vurugu wapigwe nyie mkiwa huko?
Na hao vijana wanawasikiliza!
Hawa mbung'o ndio kama kina mange na wenzake, wenyewe wanakula maisha halafu wanachochea boda waajiharibie maisha yao, ila boda walishashtukia huu ujinga wa dayaspora,
wapumbavu sana hawa, wao hawako nchini ila wanashinda mitandaoni eti wanatetea wananchi kuwashawawishi wandamane halafu waumizwe au hata kuuliwa
 
Kama kushawishi ni rahisi na wewe shawishi
 
Back
Top Bottom