Gen Z watangaza maandamano makubwa 29/10/2026

Gen Z watangaza maandamano makubwa 29/10/2026

Upepo tena? We unajua my income au ukilipwa 5m Tsh unadhani ni hela hapa US hiyo ni hela ya kununua Malaya

Samia mwenyewe anakubali MO29 ilimtikisa vibaya sana, na hato heal forever
Uko marekani halafu unasema Gz wamesema!
Kwa maana nyie ndo mnawachochea vijana wafanye vurugu wapigwe nyie mkiwa huko?
Na hao vijana wanawasikiliza!
 
Mnawezaje kuwadharau GenZ ambao walifanya JWTZ kuingia mtaani baada ya police kushidwa na Rais wa nchi kuapishiwa vichochoroni kiufupi hata boss wako hataki kuskia GenZ wewe unajiliwaza hapa
ila kweli, kuna namna fulani GEN Z walileta heshima ya kudumu ndani ya Tanganyika.

Cc: Tlaatlaah Lucas Mwashambwa
 
Hii nchi sijui kama itapoa. Kufatia serikali katili ya CCM kuua watanganyika zaidi ya 3000 na kuwazika kwenye kaburi la halaiki, na kuacha mamia ya vijana wakiwa na ulemavu wa kudumu. Mambo hayajaisha

Gen Z wamesema kisasi lazima kilipwe, Gen Z wametangaza maandamano makubwa nchi nzima haijapata kutokea. Ni tarehe 29/10/2026. Ni katika kuwakumbuka ndugu zao waliouawa mwaka mmoja uliopita.

Gen Z watatumia maandamano ayo kumfata Lissu gerezani, vijana Wana hasira, wamesema liwalo na liwe.

Tukutane 29/10/2026.

Aione
CiC

Mto wa mbu
Illinois-USA
You can't stop the rain
 
Umeongea nao wapi? Wacha uchochezi wewe! Vijana wawe wavumilivu hii takataka imalize muda wake!
 
We unajulikana ni mpumbavu wa muda wote! Hao unaowaita Gen-Z ulikutana nao wapi, ila kumbuka hii siyo Kenya huo upumbavu uko Kenya. Hakuna kima awe GenZ au kizazi kingine chochote kitatoa makalio yake
Umèandika Màwazo ya hovyo kabisa

Huwezi kuzuia mabadiliko ya wakati na kizazi kwa kupiga watu na kuua.
Badala yake utawala unatakiwa kutumia hayo mabadiliko kwa njia chanya kwa maendeleo ya taifa kwa vizazi vijavyo...ndivyo wanavyofanya wazungu.

Afrika ya weusi itabaki gizani milele
 
Back
Top Bottom