Miaka ya karibuni Chadomo wamekuwa wakidai kwamba CCM imeshindwa kuleta maendeleo Kwa sababu eti kisa hakuna Demokrasia na Katiba Mpya kama Ulaya.
Na kwamba Katiba Mpya as per Chadomo ndio muarobaini wa matatizo na huko Ulaya na USA hakuna shida kabisa Kwa vile Wana Demokrasia na Katiba nzuri...
Pamoja na kuwa madarakani anachukiwa na wananchi wa rika zote. Amefiwa na mume wake wananchi wanashangilia.
Rafiki yake Chivayo amekufa watu wanashangilia kwa komenti ya kifo ni kifo.
Maandamano makubwa kama yaliyotokea Venezuala kumpolea hayati Chavez akitoka jela ndii yanakuja kutokea hapa...
Bila maamdano haki haipatikani.
Maandamano yaitishwe nchi nzima mpaka waseme po.
Katiba mpya ndio suluhu ya ufisadi na na wanasiasa wezi kama CCM mtandao.
Bila maandamano hatupati katiba mpya.
Hii nchi sijui kama itapoa. Kufatia serikali katili ya CCM kuua watanganyika zaidi ya 3000 na kuwazika kwenye kaburi la halaiki, na kuacha mamia ya vijana wakiwa na ulemavu wa kudumu. Mambo hayajaisha
Gen Z wamesema kisasi lazima kilipwe, Gen Z wametangaza maandamano makubwa nchi nzima...
Wakuu, nipende kuwatangazia kuwa siku ya tarehe 9 ya mwezi wa 9 (9/9), kutakuwa na maandamano makubwa Tanzania nzima.
Maandamano haya yatakuwa yakushtukiza, yaani Kila mtanzania ataweka hii tarehe akilini mwake, halafu ghafla siku hiyo ikiwadia kila mtu atakuwa road!
Hii haihitaji...
Yawe ni maandamnao makubwa ambayo hayajawahi kutokea hapa nchini.
Majiji yote maandamano yafanyike kushinikiza na kupinga mateso anayopewa Tundu Lissu wakati sio mhaini.
Hakuna Jeshi lolote ambalo lilisha weza kushinda nguvu ya umma.
Nguvu ya umma ndio njia pekee ya kumnasua Lissu.
Kumekuwepo na propaganda nyingi sana Jamii forums
1. Serikali ya Iran haipendwi
2. Viongozi wamejificha kwa kuogopa USA.
3. Hakuna air defense wala chochote cha kulinda nchi dhidi ya mashambulizi.
4. Uongozi sio tu umeparaganyika bali haupo kabisa na wachache waliobaki wamekimbia nchi au...
Wakuu,
Maandamano makubwa yanaendelea nchini Albania ambapo raia wameingia mtaani kupinga rushwa inayohusisha viongozi wa serikali, ikiwemo Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Miundombinu na Nishati, Belinda Balluku.
Waandamanaji walirusha mabomu ya moto na fataki kuelekea ofisi ya Waziri Mkuu...
Yanahitaji maandamano makubwa ya kudai miili ya wapendwa wetu.
Ukisikiliza watu wanaofika mbele ya tume kutoa ushahidi wa jinsi wapendwa wao walivyouawa na miili yao kupotezwa kwa kweli inasikitisha sana.
Rais Samia huwezi kuuwa ndugu zetu kama panya alafu pia utuzuie kuwazika kwa heshima...
At least 12,000 people were killed over two nights on January 8 and 9 during protests, Iran International’s editorial board concluded, based on a review of sources and medical data.
Exiled Prince Reza Pahlavi said he was in direct contact with the Trump administration, calling it a potential...
Yawe maandamo ya Amani na siku hiyo ifanyike ibada kubwa .Tena kubwa kabisa.
Baada ya maandamano mfanye ibada kubwa . Maandamano haya yawe Tanzania nzima.
Muwakumbuke wote bila kubagua dini. Mumkumbe Mzee Ali Kibao na wenzake wote ambao baada ya kutekwa na kuuliwa ilitoka kauli kuwa kifo ni...
Njia ya kumaliza maandamano sababu kuu za maandamano lazima zitatuliwe kwanza ikiwemo muuaji kuachia madaraka hata tutawala kamwe.
Na hakuna mtu wa kutubabaisha babaisha tunachukua nchi yetu.
Taarifa kwa Vyombo vya Habari
Tunasonga Mbele! Kituo #D25 kuelekea #J1
Itolewe kwa Uharaka
Dar es Salaam, 12 Disemba 2025
Na. 028
Tunatambua wazi kwamba Samia Suluhu Hassan kwa kushirikiana na vyombo katili vya ulinzi na usalama na tume batili ya uchaguzi wamefanya uhaini wa kupindua mamlaka...
1. Legitimacy Collapse (Kupoteza Uhalali)
Wananchi wengi wanapoamini kuwa serikali:
Haitetei maslahi yao
Imekosa uadilifu
Imeshindwa kiuchumi
utawala hupoteza msingi wake.
2. Economic Trigger (Msukumo wa Kiuchumi)
Bei ya chakula, mafuta, ukosefu wa ajira — huwa chanzo kikubwa.
3. Mass...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.