Gen Z watangaza maandamano makubwa 29/10/2026

Gen Z watangaza maandamano makubwa 29/10/2026

Pole sana, ata MO29, mlisema hivyo hivyo, ila mkashuhudia vijana wanakiwasha hatari, MO29 ilimaliza kabisa legitimacy ya Samia, ata kwenda huko Kenya anaogopa, hapa USA ndo kabisa hakanyagi tena.

MO29 ilifundisha vibaka somo kubwa
Ila MO29 ILIKUWA KIBOKO. Bibi aliyekuwa amezoea kuvurumisha dreamliner letu anazunguka na wasanii uchwara USA mara EU, Leo safari yake kubwa ni kwenda kwa Museveni au kwa Ruto?

Madiluu naye moto umekata, hakuna cha kuzunguka mikoani wala vijijini. Yupo kama hayupo.
 
Kwa Ruto hakanyagi ngoooo, MO29 bila risasi za moto ikulu ilikuwa inaondoka
 
Hii nchi sijui kama itapoa. Kufatia serikali katili ya CCM kuua watanganyika zaidi ya 3000 na kuwazika kwenye kaburi la halaiki, na kuacha mamia ya vijana wakiwa na ulemavu wa kudumu. Mambo hayajaisha

Gen Z wamesema kisasi lazima kilipwe, Gen Z wametangaza maandamano makubwa nchi nzima haijapata kutokea. Ni tarehe 29/10/2026. Ni katika kuwakumbuka ndugu zao waliouawa mwaka mmoja uliopita.

Gen Z watatumia maandamano ayo kumfata Lissu gerezani, vijana Wana hasira, wamesema liwalo na liwe.

Tukutane 29/10/2026.

Aione
CiC

Mto wa mbu
Illinois-USA
***** jaribu muone mpate cha moto mbona mara ya mwisho hamkujitokeza
 
Hapa asubuhi hii nimekuwa katika taharuki kidogo.
Mtu ameniletea taarifa ananiambia,"AWAIT DIRECTIONS"
Just that, await directions.
I don't know what directions.
Kwa hiyo nimekuwa katika taharuki thinking that maybe someone is planning something devilish to harm me.
Have I got a husband that someone should tell me to AWAIT DIRECTIONS?
 
Ila MO29 ILIKUWA KIBOKO. Bibi aliyekuwa amezoea kuvurumisha dreamliner letu anazunguka na wasanii uchwara USA mara EU, Leo safari yake kubwa ni kwenda kwa Museveni au kwa Ruto?

Madiluu naye moto umekata, hakuna cha kuzunguka mikoani wala vijijini. Yupo kama hayupo.
Ila watu huwa mnapenda kujifariji? Mbona alienda Russia au huko nako ni Tanzania? Hajataka kwenda na hakuna sehemu alikowekewa vikwazo hayo huwa ni maneno yenu kujifariji tu.
 
Hapa asubuhi hii nimekuwa katika taharuki kidogo.
Mtu ameniletea taarifa ananiambia,"AWAIT DIRECTIONS"
Just that, await directions.
I don't know what directions.
Kwa hiyo nimekuwa katika taharuki thinking that maybe someone is planning something devilish to harm me.
Have I got a husband that someone should tell me to AWAIT DIRECTIONS?
🤔🤔🤔
 
marekani?

aisee labda kama unauza kundule.

Yaan nako marekani ni pa kujisifu?

Acha nikupuuze.

Kumbe umeolewa marekani unadinywa unjifanya jasiri?
Wewe ni kibaka ndani ya ccm wewe kula yako inategemea kulamba matako ya huyo ajuza wenu wa kizimkazi . Sasa mbona huyo ajuza wenu haendi ulaya na USA kama ilivyokuwa hapo awali anaishia kujichimbia kwenye mapango hapo tanguu
 
Back
Top Bottom