Gen Z watangaza maandamano makubwa 29/10/2026

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2021
Posts
4,503
Reaction score
11,347
Hii nchi sijui kama itapoa. Kufatia serikali katili ya CCM kuua watanganyika zaidi ya 3000 na kuwazika kwenye kaburi la halaiki, na kuacha mamia ya vijana wakiwa na ulemavu wa kudumu. Mambo hayajaisha

Gen Z wamesema kisasi lazima kilipwe, Gen Z wametangaza maandamano makubwa nchi nzima haijapata kutokea. Ni tarehe 29/10/2026. Ni katika kuwakumbuka ndugu zao waliouawa mwaka mmoja uliopita.

Gen Z watatumia maandamano ayo kumfata Lissu gerezani, vijana Wana hasira, wamesema liwalo na liwe.

Tukutane 29/10/2026.

Aione
CiC

Mto wa mbu
Illinois-USA
 
Unaelewa maana ya Gen Z? Au unafikiri GZ ni MTU anayeweza kusema Jambo? Ebu taja hao GZ wa wapi maana dunia hicho kizazi kipo kila mahali duniani.
 
Hii nchi sijui kama itapoa. Kufatia serikali katili ya CCM kuua watanganyika zaidi ya 3000 na kuwazika kwenye kaburi la halaiki, na kuacha mamia ya vijana wakiwa na ulemavu wa kudumu. Mambo hayajaisha

Gen Z wamesema kisasi lazima kilipwe, Gen Z wametangaza maandamano makubwa nchi nzima haijapata kutokea. Ni tarehe 29/10/2026. Ni katika kuwakumbuka ndugu zao waliouawa mwaka mmoja uliopita.

Gen Z watatumia maandamano ayo kumfata Lissu gerezani, vijana Wana hasira, wamesema liwalo na liwe.

Tukutane 29/10/2026.

Aione
CiC

Mto wa mbu
Illinois-USA
We unajulikana ni mpumbavu wa muda wote! Hao unaowaita Gen-Z ulikutana nao wapi, ila kumbuka hii siyo Kenya huo upumbavu uko Kenya. Hakuna kima awe GenZ au kizazi kingine chochote kitatoa makalio yake
 
Pole sana, ata MO29, mlisema hivyo hivyo, ila mkashuhudia vijana wanakiwasha hatari, MO29 ilimaliza kabisa legitimacy ya Samia, ata kwenda huko Kenya anaogopa, hapa USA ndo kabisa hakanyagi tena.

MO29 ilifundisha vibaka somo kubwa
 
Mlikiwasha sheli?

haha Yaan uchome biashara za watu ujione mjanja?

Kuna kiongozi hata mmoja alipata jeraha?

acheni uzuzu mnadanganya vijana huku mmejificha mitandaoni.
 
Pole sana, ata MO29, mlisema hivyo hivyo, ila mkashuhudia vijana wanakiwasha hatari, MO29 ilimaliza kabisa legitimacy ya Samia, ata kwenda huko Kenya anaogopa, hapa USA ndo kabisa hakanyagi tena.

MO29 ilifundisha vibaka somo kubwa
Umesema kweli kabisa Mo29 ilifundisha vibaka somo kubwa..
Kwa sasa hakuna kibaka ataleta tena vurugu.
 
Back
Top Bottom