Gen Z watangaza maandamano makubwa 29/10/2026

Umèandika Màwazo ya hovyo kabisa

Huwezi kuzuia mabadiliko ya wakati na kizazi kwa kupiga watu na kuua.
Badala yake utawala unatakiwa kutumia hayo mabadiliko kwa njia chanya kwa maendeleo ya taifa kwa vizazi vijavyo...ndivyo wanavyofanya wazungu.

Afrika ya weusi itabaki gizani milele
Jamaa anaona ni sawa watu kutekwa na kuuliwa kisa anapata hela Kwa kuteka watu
 
Mnawezaje kuwadharau GenZ ambao walifanya JWTZ kuingia mtaani baada ya police kushidwa na Rais wa nchi kuapishiwa vichochoroni kiufupi hata boss wako hataki kuskia GenZ wewe unajiliwaza hapa
Samia ata afanye nini legacy yake ni MO29, mwenyewe amekuwa mpole kama piliton Kuna nchi kamwe hawezi kanyaga
 
Hii nchi sijui kama itapoa. Kufatia serikali katili ya CCM kuua watanganyika zaidi ya 3000 na kuwazika kwenye kaburi la halaiki, na kuacha mamia ya vijana wakiwa na ulemavu wa kudumu. Mambo hayajaisha

Gen Z wamesema kisasi lazima kilipwe, Gen Z wametangaza maandamano makubwa nchi nzima haijapata kutokea. Ni tarehe 29/10/2026. Ni katika kuwakumbuka ndugu zao waliouawa mwaka mmoja uliopita.

Gen Z watatumia maandamano ayo kumfata Lissu gerezani, vijana Wana hasira, wamesema liwalo na liwe.

Tukutane 29/10/2026.

Aione
CiC

Mto wa mbu
Illinois-USA
Waombe kibali tuu!
 
Mje nchini muandamane

Sio mnalengesha watoto wa wengine wakati nyie Mko busy online republic
 
Hii nchi sijui kama itapoa. Kufatia serikali katili ya CCM kuua watanganyika zaidi ya 3000 na kuwazika kwenye kaburi la halaiki, na kuacha mamia ya vijana wakiwa na ulemavu wa kudumu. Mambo hayajaisha

Gen Z wamesema kisasi lazima kilipwe, Gen Z wametangaza maandamano makubwa nchi nzima haijapata kutokea. Ni tarehe 29/10/2026. Ni katika kuwakumbuka ndugu zao waliouawa mwaka mmoja uliopita.

Gen Z watatumia maandamano ayo kumfata Lissu gerezani, vijana Wana hasira, wamesema liwalo na liwe.

Tukutane 29/10/2026.

Aione
CiC

Mto wa mbu
Illinois-USA
Huu sasa umegeuka kuwa mradi wa wahuni. Wataandikia bajeti ya kununua vifaa vya kupambana na hao waandamanaji, wataandikia hela ya posho kwa ajili ya walinda usalama, na mwisho wa siku watatusababishia tu usumbufu barabarani hiyo siku ikifika.
 
Ni mradi pia wa organizers wa vurugu

They are paid in millions of dollars

And never put w foot on the ground
 
Ni mradi pia wa organizers wa vurugu

They are paid in millions of dollars

And never put w foot on the ground
Kila siku mnapiga tu porojo! Ushahidi uko wapi? Ila kwa upande wenu huwa tunawaona mnavyofurahia mkisikia kuna maandamano. Mnajua tayari kuna posho za kutosha siku zote mtakazojifanya kutadhibiti hayo maandamano.
 
Pole sana, ata MO29, mlisema hivyo hivyo, ila mkashuhudia vijana wanakiwasha hatari, MO29 ilimaliza kabisa legitimacy ya Samia, ata kwenda huko Kenya anaogopa, hapa USA ndo kabisa hakanyagi tena.

MO29 ilifundisha vibaka somo kubwa
Hili jibu lako ndio limeharibu uzi wako mwenyewe, kwamba uko USA halafu unahamasisha vijana walioko Bongo watoke?
 
Hii nchi sijui kama itapoa. Kufatia serikali katili ya CCM kuua watanganyika zaidi ya 3000 na kuwazika kwenye kaburi la halaiki, na kuacha mamia ya vijana wakiwa na ulemavu wa kudumu. Mambo hayajaisha

Gen Z wamesema kisasi lazima kilipwe, Gen Z wametangaza maandamano makubwa nchi nzima haijapata kutokea. Ni tarehe 29/10/2026. Ni katika kuwakumbuka ndugu zao waliouawa mwaka mmoja uliopita.

Gen Z watatumia maandamano ayo kumfata Lissu gerezani, vijana Wana hasira, wamesema liwalo na liwe.

Tukutane 29/10/2026.

Aione
CiC

Mto wa mbu
Illinois-USA
Umeanza! Yote hii status ya ukimbizi
 
Back
Top Bottom