Gazeti letu la Udaku JF..

Gazeti letu la Udaku JF..

Penzi la Smile na Rejeo matatani,
kisa mmoja wao mvivu mpaka aamshe kitandani kila siku.
01EEBUBTn.gif
duh duh?
 
Dah! atakua kakomesha wengi. Kwaza washawasha, figaniga, alafu Memo (Asee...Duh!) na wengine wengi...
Imefahamika ya kwamba anayovuta russian Roulette sio sigara ni camera ya kipelelezi aliyopewa na KGB ili kumfuatilia Mzee Mwanakijiji.Nalog off
 
wacha tucheke kufa kwaja.
Then let me try,

Ile timu ya waandishi maarufu wa gazeti la udaku la JF ( Tanmo, Lizzy, Sulfa, Sijui nini, Kongosho) yakutwa na balaa:-
  • Inasemekana ni katika kujua ukweli wa The Boss
  • Wamwagiwa uharo wa mtoto mitaa ya uswazi
  • Inaonekana ni bifu kati ya mmiliki na The Boss
  • Tanmo atangaza kuacha kazi rasmi baada ya hilo sakata............ Uk 1000

Hahahahah:hat:.....

Habari zilizotufikia hivi punde zinasema klorokwini aka fellow tablet aka lawyer wa JF amepona ugonjwa wa kukojoa kitandani. Akielezea dawa alizotumia, klorokwini aliliambia gazeti hili pendwa kuwa aliamua kufanya maamuzi magumu ya kukubali kunywa mkojo wa Preta uliochanganywa na makohozi ya sweetlady kama alivyoshauriwa na dokta PakaJimmy. Hadi tunaenda mtamboni gazeti hili limeshindwa kubaini kama Cantalasia naye anakabiliwa na ugonjwa huu kwani naye alikutwa kwenye foleni ya kumuona dokta......

Katika michezo: Gazeti hili limetaarifiwa kuwa zile jezi zilizotolewa kwa ajili ya timu ya wanawake wa JF zimeshindwa kuwatosha wachezaji wawili mahiri...... Wembamba wa Kapteni wa timu AshaDii umesababisha bukta kumpwaya na hivyo bukta hiyo imepelekwa kwa fundi cherehani The Finest ikapunguzwe, wakati Unene wa King'asti jezi imeishia kwenye manyonyo. Juhudi ya kumfanyi plastic sugery ili kupunguza ukubwa wa manyonyo yake bado zinaendelea.....

hahahaha
Gazeti letu hili limeendelea kuropokwa na kunyetisha kwamba badala ya Mr Rocky kukosa perfume ya kukamilisha kidate chake na daughter ameamua kutumia Air Freshner alioikuta kwenye public toilet moja maarufu jijini (jina tunalo), Gazeti linaendelea kuileak habari hiyo kwamba eneo la tukio la date hiyo kulitawaliwa na chafya za daughter ambazo zilitokana na harufu kali ya air freshener hiyo. Chanzo chetu kilikamilisha kwa kusema badala ya wawili hao kutegemea kuishia gesti, walijikuta wanaishia dispensary na kupigana kibuti mbele ya nurse King'asti
 
Kwenye maeneo flani ya kujiachia jijini Husninyo azua tafrani pale alipokatiza mbele ya members wawili wa humu JF ambao
walikuwa wakipata moja moto moja baridi.

0c2F09GWl.gif

khaaa! Mbona mnanipa skendo mbaya hivyo! Lol.
 
Penzi la Smile na Rejeo matatani,
kisa mmoja wao mvivu mpaka aamshe kitandani kila siku.
01EEBUBTn.gif
Mimi wanaintelijensia walinitonya Smile alishindwa kuvumilia kwa sababu Rejao analala kabla hajaingia ndani, akigusa kitanda tu anaanza kukoroma mpaka anaamsha mtaa mzima, akiwemo jirani yao The Finest ambaye ameamua kuhama nyumba.
 
Nahakuishia hapo tu rejeo,usiku anapoota anaanza kumpiga mwenzake mateke
 
mamndenyi,mammamia wamshitaki Figganigga kwa kuwahonga Mia badala ya 10000/= waliyoelewana.
Mzizi Mkavu ampa Mkuyati Lizzy akidhani anampa dawa ya limbwata.
Asha Dii afumwa laivu bila chenga akisali sala ya magharibi kwa rakaa zaidi ya 20.
Mtazamaji agundua teknolojia ya kukusaidia kuandika thread 1000 kwa siku.
Imegundulika ya kuwa Katavi ni raia wa Kongo Kinshasa.
Mzee afumaniwa nyumbani kwa Mpita Njia.
Nalog off
 
Husninyo na Uporoto washerehekea aniversary yao kwa kishindo

​

habari za uhakika za gazeti letu linareport kuwa lawyer maarufu wa jf mwenye vyeti vya kugushi amevamia sherehe ya bibi kizee dena. Lawyer huyo inasemekana amekula mpaka amejinyea hapo hapo. Nimeogopa kuweka picha kwa kuhofia kuleta nzi na kuharibu hali ya hewa. Hadi tunaenda mitamboni lawyer huyo anaekwenda kwa jina la klorokwini ameshindwa kusibitisha maana alikuwa hapokei simu ila watu wanafanya mpango wa kumburuza hadi kwake tandale.
 
wacha tucheke kufa kwaja.then let me try,ile timu ya waandishi maarufu wa gazeti la udaku la jf ( tanmo, lizzy, sulfa, sijui nini, kongosho) yakutwa na balaa:-
  • inasemekana ni katika kujua ukweli wa the boss
  • wamwagiwa uharo wa mtoto mitaa ya uswazi
  • inaonekana ni bifu kati ya mmiliki na the boss
  • tanmo atangaza kuacha kazi rasmi baada ya hilo sakata............ Uk 1000
natangaza kuacha kazi jf udaku...naenda kufungua kampuni yangu huko science, gadgets and technology..
 
Madaktari huko India wasema ugonjwa wake hauna tiba
Marazi hayo ya ajabu ambapo kila pua ikiingia ndani maskio yanazidi kukua na kutoka nje yamewaweka madaktari bingwa mdomo wazi, Rafiki wa karibu wa rejao anaekwenda kwa jina la Excellent ametahazarisha uwezekano wa kuwepo mkono wa mtu kwenye skendo hii , Excellent alifanikiwa kutuonesha pandikizi la herizi na kusisitiza kwamba alimshauri sana mzee mwenzake rejao atumie "kulogwa proof" hiyo lakini akamzarau.

"Hapa mjini bana, inabidi utembee na silaha kama hii (Excellent alionesha herizi begani kwake)" alisikika excellent akisema
 
Pain Killer, Viwango and Cookie are in ICU as of this moment. You as a Super Moderator will Moderate the whole forum as of right now for i am in charge of their welfare.
RR apandishwa cheo, akutwa akijitahidi kunyanyua rungu la PAW.Mwenyewe atamba, asema pamoja na kwamba hawezi kulinyanyua kwa mkono mmoja bado atawakomesha wabaya wake.Wachoyo wa LIKE wahaha.
 
hahahaaaaaaaa
we umepinda kweli wallai...kha!

hahahaha
Gazeti letu hili limeendelea kuropokwa na kunyetisha kwamba badala ya Mr Rocky kukosa perfume ya kukamilisha kidate chake na daughter ameamua kutumia Air Freshner alioikuta kwenye public toilet moja maarufu jijini (jina tunalo), Gazeti linaendelea kuileak habari hiyo kwamba eneo la tukio la date hiyo kulitawaliwa na chafya za daughter ambazo zilitokana na harufu kali ya air freshener hiyo. Chanzo chetu kilikamilisha kwa kusema badala ya wawili hao kutegemea kuishia gesti, walijikuta wanaishia dispensary na kupigana kibuti mbele ya nurse King'asti
 
habari za uhakika za gazeti letu linareport kuwa lawyer maarufu wa jf mwenye vyeti vya kugushi amevamia sherehe ya bibi kizee dena. Lawyer huyo inasemekana amekula mpaka amejinyea hapo hapo. Nimeogopa kuweka picha kwa kuhofia kuleta nzi na kuharibu hali ya hewa. Hadi tunaenda mitamboni lawyer huyo anaekwenda kwa jina la klorokwini ameshindwa kusibitisha maana alikuwa hapokei simu ila watu wanafanya mpango wa kumburuza hadi kwake tandale.

Mambo hazarani:

Yule mtaalamu wa hesabu za log JF anaekwenda kwa jina la Husninyo jana alijikuta mweupee kwenye mduara baada ya jinzi linalosadikiwa kuwa ovasaizi ambalo aliliazima kwa King'asti kumtambia mke mwenziwe lilipomporochoka mara alipokolea baada ya DJ Invizibo kuweka wimbo wa "Bata", Mama huyo ambae pia ni maarufu bila avatar hapa jamvini alijisahau akaweka "vidole juu" na kusahau kulizuia jinzi hilo ambalo lilionekana kabisa kumzidi kimo, Jitihada za kumtafuta King'asti kusibitisha skendo hii ya kumuazima jinzi husninyo bado zimegonga mwamba, tunaahidi kuweka picha za skendo hiyo wiki ijayo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom