Gazeti lenu la JF udaaku mlipendalo leo liko mtaani na habari motomoto.......
Klorokwin akamatwa akipiga chabo watu wakibanjua amri ya sita ajitetea asema ni moja ya staili zake za kupandisha mzuka akirudi kwa mke wake....
Asprin akamatwa juu paa la mwenye nyumba wake akiwanga mchana kweupe yeye asema alikuwa akiangalia kama mabati ni chapa Simba....
Fidel akamatwa akiwa uchi huku akiwa ameshikilia Jogoo asinginzia Joto ndio lilimfanya avue nguo...
Kongosho akamatwa akimbemenda Bujibuji
Yagundulika pedesheee aliyekuwa akimuweka mjini Husninyo ni Mwanakijiji, awakimbia waandishi wa habari na kuacha visigino vyake..
Lizzy ashikiliwa na polisi kwa kuiba pedo kwenye duka AfroDenzi
TANMO azua kizazaa msikitini baada ya simu yake kutoa mlio ambao haukutegemewa