Gazeti letu la Udaku JF..

TANMO

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
11,467
11,166
Kutokana na kwamba JF imeweza kuwa mtandao mkubwa ambao imetokea kuwepo hata Masupastaa wake nadhani ni muda mwafaka kwa wajasiriamali tukaanzisha Gazeti letu ambalo litakuwa linatoa habari kuhusu watu maarufu wa Jf, nina imani tutapata soko.

hebu fikiria vichwa vya habari kama:
--"Siwezi kuchangia mada bila kuvuta msuba" King'asti
--"Sitaki mwingine, wa sasa ananitosha" Nazjaz
--Nyani Ngabu abaka tena, madaktari wasema tatizo lake linatibika
--Kongosho aapa kunywa sumu iwapo atamkosa The Boss
--Mzee Mwanakijiji afumaniwa na Agel Msoffe wakiwa katika mkao wa hatari
--"Marafiki zangu wote ni wanafiki" - Lizzy
--"Ninamzimia sana Invizibo" - Mamndenyi
--Mzee Mtambuzi akiri kumsaliti mkewe mara kumi
--"Nimashatembea na wanawake 1000" - Bishanga
--Figanigga aka mzee wa Mia apata kimwana mpya, asema ndoa ni kabla ya mwaka mpya
--Kumbe na usista duu wake wote Husninyo anaishi kwa mikopo!!!!
--The Finest agonganisha vimwana, mwenyewe aingia mitini , tifu zito latokea
--"Nilianza kunywa pombe nikiwa na miaka mitatu" - Babu Asprin
--Asilimia kubwa ya waumini wangu ni Wanawake - Rev Masanilo
--PAW amlima Ban Washawasha kwa kulog off kila mara
--Saint Ivuga anyang'anywa mke

Hivyo ni kwa uchache tu, wazo hilo kwa yeyote ambaye yuko interestedi awasiliane na mimi tuanze utaratibu wa kulisajili Gazeti letu kabla ya mwaka mpya..

Mapendo.
TANMO
 
Salute mkuu ahahaaakwa kuongezea
invisible afumaniwa na mke wa paw
the finest afumwa gesti na faiza fox

nyani ngabu achezea kichapo chooni airport alikuwa anamtorosha mke wa krolokwin

YO YO amvalisha pete ya uchumba smile

ashadiii arudi jukwaani kwa mbwembe barabara zote zafungwa

asprini afumaniwa tena na baamedi walikuwa uchi kaunta mchana kweupeeeeee

rejao aula ikulu,ritz atupwa wizarani

malaria sugu kampokea yesu jangwani arudisha vibuyu vyote vya uchawi,asema alirithi kwa jirani yake

the boss aoa tena mke wa pili azua balaa harusini

lizzy aachika tena kwa the finest sasa ajichimbia kwa mr rocky mke wa mr rocky aja juu

afrodenzi alilia penzi lake na nyani ngabu asema watu wanamloga

fesi buku na cantalisia wamgombania figaniga mzee wa mia bilcanas

bishanga afumaniwa na mwanafunzi kwenye gari,ni mtoto wa baba mwenye nyumba wake

mamndenyi arudi kwa mumewe asema hawakukutana vichochoroni wapambe jinyongeni

dr riwa afumaniwa na mama mjamzito adai alikuwa anamkanda tumbo mtoto kakaa vibaya

mzizimkavu afumwa live na kizee usiku wa manane uchi adai alikuwa anamfundisha tiba asilia

invisible aachia ushuzi kwenye kikao,wadhamini wajitoa kusaidia jamii forums alimwa barua ya kuachishwa kazi

aminata amwibia mzungu hotelini,ajichimbia south kwasaint ivuga

nasjaz adai wanaume wa bongo hawajui mapenzi sasa hv kujichimbia uarabuni tu

Rejao afanyiwa plastic surgery ya masaburi madaktari wakosea wamdunga sindano ya cement

KIZAAZAA JF MOD ARRAY ACHOKA KUSOMA PM AZIACHIA KWA MEMBER WOTE PM ZAANIKWA HALI TETE JF WATU WOTE WALOG OFF WAJA NA ID MPYA

nitaendelea badae
 
Yule gwiji wa kupiga ban anayejulikana kwa Id ya PAW karushiwa vilago vyake na kupigwa marufuku kuonekana kwenye ofisi za jf. "haiwezani mtu ampige ban mke wangu halafu awe anajipitisha mbele yangu akijichekesha na mimi nikamwangalia tu. Nimemfukuzia mbali akatafute forum yake" alisikika invisible akilalamika wakati anaongea na figganigga kwa njia ya simu. Nimejaribu kumpigia simu PAW lakini simu yake ikapokelewa na mwanadada aliye jitambulisha kwa jina la DENA AMSI na kusema PAW yupo nje ya nchi. Mia
 
Yule gwiji wa kupiga ban anayejulikana kwa Id ya PAW karushiwa vilago vyake na kupigwa marufuku kuonekana kwenye ofisi za jf. "haiwezani mtu ampige ban mke wangu halafu awe anajipitisha mbele yangu akijichekesha na mimi nikamwangalia tu. Nimemfukuzia mbali akatafute forum yake" alisikika invisible akilalamika wakati anaongea na figganigga kwa njia ya simu. Nimejaribu kumpigia simu PAW lakini simu yake ikapokelewa na mwanadada aliye jitambulisha kwa jina la DENA AMSI na kusema PAW yupo nje ya nchi. Mia

Mkuu tutakuajiri uwe miongoni mwa waandishi, hebu tuma siivii yako kwa Smile halafu tutakupigia simu..
 
mmmh! hii imekaa vizuri, manake hata yale maheiniova..aliyoniachia joji bushi sikuileee kule moshi yameondoka yote.
 

Similar Discussions

63 Reactions
Reply
Back
Top Bottom