Gazeti letu la Udaku JF.. (REBORN)

sijui nini

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
2,553
1,285
KWA HISANI YA TANMO
Kutokana na kwamba JF imeweza kuwa mtandao mkubwa ambao imetokea kuwepo hata Masupastaa wake nadhani ni muda mwafaka kwa wajasiriamali tukaanzisha Gazeti letu ambalo litakuwa linatoa habari kuhusu watu maarufu wa Jf, nina imani tutapata soko.


hebu fikiria vichwa vya habari kama:
--"Siwezi kuchangia mada bila kuvuta msuba" King'asti
--"Sitaki mwingine, wa sasa ananitosha" Nazjaz
-- Nyani Ngabu abaka tena, madaktari wasema tatizo lake linatibika
-- Kongosho aapa kunywa sumu iwapo atamkosa The Boss
-- Mzee Mwanakijiji afumaniwa na agel Msoffe wakiwa katika mkao wa hatari
--"Marafiki zangu wote ni wanafiki" - Lizzy
--"Ninamzimia sana Invizibo" - Mamndenyi
-- Mzee Mtambuzi akiri kumsaliti mkewe mara kumi
--"Nimashatembea na wanawake 1000" - Bishanga
-- @figanigga aka mzee wa Mia apata kimwana mpya, asema ndoa ni kabla ya mwaka mpya
--Kumbe na usista duu wake wote Husninyo anaishi kwa mikopo!!!!
- @theFinest agonganisha vimwana, mwenyewe aingia mitini , tifu zito latokea
--"Nilianza kunywa pombe nikiwa na miaka mitatu" - Babu Asprin
--Asilimia kubwa ya waumini wangu ni Wanawake - @RevMasanilo
-- Paw amlima Ban Washawasha kwa kulog off kila mara
-- saintIvuga anyang'anywa mke

Hivyo ni kwa uchache tu, wazo hilo kwa yeyote ambaye yuko interestedi awasiliane na mimi tuanze utaratibu wa kulisajili Gazeti letu kabla ya mwaka mpya..

Mapendo.
TANMO

Find The original Thread here:
https://www.jamiiforums.com/jf-chit-chat/200523-gazeti-letu-la-udaku-jf-68.html

Note: Member wengi wapya wameingia na wengi kutoka au kubadili ID...si ajabu wengine hata hawakuwahi kuisikia hii thread.. Ladies and gentlemen..its my pleasure to bring you once again ...JF UDAAKUUUUU...........:whoo::whoo::whoo::whoo::whoo::whoo::laugh::laugh::laugh::laugh::majani7::majani7::majani7::majani7::welcome::welcome::welcome::welcome::welcome:
 
Last edited by a moderator:
hilo haliwezekani ndugu yangu mimi nina share hapa JF,tatizo mimi huwa nafunga mwaka mzima sisubiri mwezi wa Ramadhani wala nini sasa swaumu huwa inakuwa kali sana
Nalog off
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom