JF Udaku: Toleo la Mwisho wa mwaka

TANMO

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
11,516
11,277
---Paka Jimmy na Faiza Foxy ndani ya Penzi zito: wenyewe wasema tofauti za kisiasa zisiwatenganishe
---Zinduna aapa kumtoa busha Bishanga, ni baada ya Bishanga kuzinasa picha za Zinduna akila maraha na Mchumba wa Madame B. Bishanga aapa kuzileta picha hizo JF Udaku. Zinduna afunga safari ya ghafla kwenda Sumbawanga.
---Mwaka mbaya kwa Erick B: atemwa na Jimama lililokuwa linamweka mjini: hatarini kurudia kazi yake ya Boda boda
---Charminglady aweweseka baada ya kuwagonganisha Watu8 na Figanigga: Nusura ngumi zirushwe, mabaunsa waingilia kati kutuliza hali ya hewa.
---King'asti aingia mitini na Laptop ya PAW: PAW ashindwa kutoa ban kwa muda, aapa kumpa life ban King'asti akiipata laptop yake.
---Mamndeni azidi kulilia penzi la Mzee Mtambuzi: Binti za Mtambuzi wamchimba mkwara mzito baba yao;; wadai wamechoshwa na skendo zake za vimwana kila kukicha.
---Picha za maraha za Preta zanaswa: mwenyewe akana na kudai yule ni pacha wake
---Ndoa ya FP mashakani, ni baada ya kujisahau mara kwa mara na kumuita mumewe kwa jina la TANMO.
---Hatimaye Kongosho aweka wazi jinsia yake.
---Bujibuji ahisiwa kuwa Freemason: alipohojiwa atoa neno moja tu "Mtajiju"
---Hatari: Asilimia tisini ya Wana chit chat ni waathirika: Daktari aeleza jinsi wanavyosambaziana virusi: asema itabidi Uongozi wa JF ufunge jukwaa la chit chat ili kupunguza maambukizi ya virusi vya Chit chat Mkesho. Pia amedai kuwa Ugonjwa wa Mkesho unasababisha watu wasilale na matokeo yake wanasinzia makazini na barabarani. Adai hali ikiendelea hivi tutegemee waathirika zaidi.
---Mungi aeleza jinsi alivyonusurika kubwakwa na jimama tani saba: asema anashukuru Mungu halikumkalia, vinginevyo angefanywa chapati.
---Sweetlady akiri kumtamani Invisible. asema anashindwa kufunguka kwa kuogopa Ban.
---Lara 1 ashindwa kuzuia hisia zake alipomwona The Boss Mlimani City: ashindwa kutimiza azma yake ya kumkumbatia baada ya Ze Boss kumtambulisha kwa mamsap wake. Lara 1 aapa kumnasa Ze Boss hata kwa kumuendea kwa babu.
---Filipo alalamika kuingizwa mjini na Mdada wa Jf Chit chat. akataa kumtaja jina

Gazeti hili huchapishwa na JF Udaku Publishers Ltd
Mdhamini Mkuu ni Bishanga Abashaija a.k.a Bepari la Kihaya.

Haki zote zimehifadhiwa.
 
Hah hah hah hah hah!! I hope hiyo red haitaniletea usumbufu kwa wife wangu marejesho wakati huu tukijiandaa kwenda Tanga! Hata hivyo nimefurahi sana wife hana skendo!
 
Last edited by a moderator:

:laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh:
 
Back
Top Bottom