Gazeti letu la Udaku JF..

Gazeti letu la Udaku JF..

Iiiiish...kumbe ishafika saa sita...mi nilijua bado asubuhi...tangu nimefika ofisini nikasema ngoja nisome some kidogo yaliyojiri leo kwenye haka ka gazeti ketu afu nianze kuchapa mzigo kumbe siku ndo ishaisha...??? Oh.. my...
 
Wigi la afrodenzi ladondoka. Watu wote wapigwa na mshangao baada ya kumuona ana bonge la kipara na kichogo cha nguvu.

duu hii balaa tupu hasa kwa mpenda rugby yule inawezeka walimpiga uwanja mpaka kavimba chogo..
 
Siri imefichuka...Kisa cha The Boss kuja na trademark ya 'JF IS NEVER BORING' chajulikana.amethibitishwa kunyimwa unyumba na mkewe kwa miezi 6, ni baada ya kuleta uzi wa nyumba ndogo.aigeukia mmu kwa faraja zaidi kutoka kwa kongosho.
 
Bujibuji apigwa na mwanamke kisa anatembea na mumewe.

muda huu nikiwa nangoja basi ili nirudi nyumbani kutoka kazini mara nikamuona mke wa jirani yangu akija huku akiwa amenuna na kukunja sura.
Alikuwa anatembea kwa mwendo wa kasi kuelekea upande nilioko.
Aliponifikia, akanikunja shati na kuanza kunipiga vibao, nikiwa katika hali ya mshangao, watu waliokuwepo kituoni wakamshika, ndipo alipoanza kuporomosha matusi "mwacheni nimshikishe adabu, anampeleka mume wangu kunywa pombe na kumtafutia wanawake".
Watu wakamkokota, na mi nikawa naondoka kiunyonge tena kwa aibu, nyuma nilisikia watu wakisema umemkomesha nguruwe akome.
Dah... Kumbe unaweza kusingiziwa hivihivi kwa makosa ambayo hujafanya.
Lakini tunaambiwa shukuruni kwa kila jambo
 
Iiiiish...kumbe ishafika saa sita...mi nilijua bado asubuhi...tangu nimefika ofisini nikasema ngoja nisome some kidogo yaliyojiri leo kwenye haka ka gazeti ketu afu nianze kuchapa mzigo kumbe siku ndo ishaisha...??? Oh.. my...

jf ni zaidi ya kile hasa kwenye ishu kama hizi za udaku hahahahaha :lol: :lol:
 
  • The Finest ang'angania jimama kwenye kiduku, lamkimbia, aangua kilio.
  • Afrodenzi shanga zamponza, zakatika ukumbini mbele ya umati, amkimbia mwandishi wa JF!
  • Rejao achezea kichapo, asoteshwa na vinega wa Chadema, atoa ulimi aweweseka!
  • Husninyo amtoroka mumewe usiku wa manane! Aibukia Loliondo kwa babu
  • Lizy ajifungua mapacha! Pacha mmoja afanana na Mwanakijiji mwingine afanana na Malaria Sugu, WanaJF wahoji!
  • KakaKiiza amzimisha denti kwa katerero, atafutwa na polisi
  • Washawasha agombaniwa na vimwana wa JF, akana kuwaPM, alog off
 
Bahahahaa
 
SuperMod anaswa akikwanga 8 za usiku
Usiku wa kuamkia leo SuperMod mmoja wa JF alinaswa na Wanamgambo wa JF akiperuzi PMs za wanaJF.
Akiwa kachnganyikiwa, macho mekundu, alisema haiwezekani yeye anaswe kwa vile haonekani. Kwa hasira,
Rejao alisikika akisema, "Kama huoneka pokea hicho" na kumtwanga kibao cha nguvu kilichomsababishia maumivu makali na kukiri kutenda kosa hilo.

Kesi imefunguliwa Jadala No. 00285/00811/JF/CRO, katika Mahakama ya Mwanzo ya JF, lakini gazeti hili lilipozungumza na Mwanasheria mmoja wa JF alisema,kwanza katika JamiiForums hakuna aliye juu ya sheria na kosa hili adhabu yake ama itakuwa ni BAN ya miaka mitano au faini ya kuwapandisha cheo wanaJF wote kuwa Premium Members. Kesi itasikilizwa tena mara tu pande zote mbili za mdai na mdaiwa kukamilisha ushahidi wao.
 
News Alert: Tanmo has been banned for causing excessive injuries as a result of compulsive laughter to hundreds of JF Members and Visitors as a result of this Thread. More details of the ban will be brought back if no-one dies from the injuries.
 
Siri kubwa imefichuka kuwa Marytina ni mkimbizi kutoka rwanda, hii imetokana na yeye kufumwa akiwafanyia tohara haramu watoto wa kike huko arusha alikojichimbia, alipohojiwa na mwandishi maarufu TANMO wa gazeti la udaku la jf ndipo siri ilipofichuka.
 
SuperMod anaswa akikwanga 8 za usiku
Usiku wa kuamkia leo SuperMod mmoja wa JF alinaswa na Wanamgambo wa JF akiperuzi PMs za wanaJF.
Akiwa kachnganyikiwa, macho mekundu, alisema haiwezekani yeye anaswe kwa vile haonekani. Kwa hasira,
Rejao alisikika akisema, "Kama huoneka pokea hicho" na kumtwanga kibao cha nguvu kilichomsababishia maumivu makali na kukiri kutenda kosa hilo.

Kesi imefunguliwa Jadala No. 00285/00811/JF/CRO, katika Mahakama ya Mwanzo ya JF, lakini gazeti hili lilipozungumza na Mwanasheria mmoja wa JF alisema,kwanza katika JamiiForums hakuna aliye juu ya sheria na kosa hili adhabu yake ama itakuwa ni BAN ya miaka mitano au faini ya kuwapandisha cheo wanaJF wote kuwa Premium Members. Kesi itasikilizwa tena mara tu pande zote mbili za mdai na mdaiwa kukamilisha ushahidi wao.

News Alert: Tanmo has been banned for causing excessive injuries as a result of compulsive laughter to hundreds of JF Members and Visitors as a result of this Thread. More details of the ban will be brought back if no-one dies from the injuries.
Fang imekua vipi unatoa Ban? au wewe ndio ulipatikana? hahahaha
 
  • The Finest ang'angania jimama kwenye kiduku, lamkimbia, aangua kilio.
  • Afrodenzi shanga zamponza, zakatika ukumbini mbele ya umati, amkimbia mwandishi wa JF!
  • Rejao achezea kichapo, asoteshwa na vinega wa Chadema, atoa ulimi aweweseka!
  • Husninyo amtoroka mumewe usiku wa manane! Aibukia Loliondo kwa babu
  • Lizy ajifungua mapacha! Pacha mmoja afanana na Mwanakijiji mwingine afanana na Malaria Sugu, WanaJF wahoji!
  • KakaKiiza amzimisha denti kwa katerero, atafutwa na polisi
  • Washawasha agombaniwa na vimwana wa JF, akana kuwaPM, alog off
Mkuu nimeisha kamatwa ila asante kwa taarifa yako naomba nauende kwa mjumbe wetu mniandalie barua ya udhamini kesho ni 9/dec ntaozea mahabusu mpaka j3 kalabashi watafunga nisipokwenda!!Plssssssssssss
 
He hii ni thread ya kufungia mwaka duh nimecheka sana aisee

Dena Amsi asababisha fujo klabu bilikanazi,ni baada ya rejao na bujibuji kumgombania ili acheze nao,Dena akawaacha kwenye mataa na kwenda kucheza na mzee mwanakijiji.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom