Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,419
- 18,372
Rejeo alipoulizwa na waandishi wa gazeti hili hakutaka kuongea ila alionyesha masikitiko makubwa na kutoa tone la choziMarazi hayo ya ajabu ambapo kila pua ikiingia ndani maskio yanazidi kukua na kutoka nje yamewaweka madaktari bingwa mdomo wazi, Rafiki wa karibu wa rejao anaekwenda kwa jina la Excellent ametahazarisha uwezekano wa kuwepo mkono wa mtu kwenye skendo hii , Excellent alifanikiwa kutuonesha pandikizi la herizi na kusisitiza kwamba alimshauri sana mzee mwenzake rejao atumie "kulogwa proof" hiyo lakini akamzarau.
"Hapa mjini bana, inabidi utembee na silaha kama hii (Excellent alionesha herizi begani kwake)" alisikika excellent akisema
huku ameinamisha kichwa chake,ila alisema maneno mawili kuwa jirani yake anayeitwa klorokwini ndo chanzo cha huo ugonjwa
ambao unatokana na imani za uganga wa kienyeji.
Pamoja na hayo paparazi wa gazeti hili alimfuata klorokwini kwake na kabla hajafika nyumbani alimkuta klorokwini njiani
kwenye vumbi kali akitafuna mahindi ya kuchoma.

