We havikuumi sababu it is true... lolHahahaha!!! Mimi watu wamenipiga skendo tokea page ya kwanza hadi ya 12....na mimi sasa najibu skendo zao...lol
Hahahaha!! Klorokwin mbona unakimbia skendo zako
MMmhhhhh, usichukulie hii fujo kujaribu kutekeleza ndoto zako na mke wa watu!bishanga abashaija amvalisha pete ya uchumba Eliza wa tegeta.
Khaaaaaa! salama yako nalog out lakini nitarejea.Klorokwini achezea kichapo toka kwa uporoto, ni baada ya kufumaniwa Namnani gesti hausi akiwa na Husninyo....
The Finest akiri kumtongoza kongosho, ni baada ya kubanwa vilivyo na The Boss...
Habari zilizotufikia hivi punde zinasema lile bepari la kihaya lijulikanalo kwa jina la Bishanga a.k.a baba ya totozi na gesti za uchochoroni ameamua kumpokea yesu....tukio hilo limetokea katika kanisa mchungaji maarufu wa jf anaejulikana kwa jina la Masanilo...akithibitisha kutokea kwa tukio hilo Bishanga amekiri kumpokea yesu na sasa yupo huru na hana tena minyororo ya dhambi...bishanga abashaija amvalisha pete ya uchumba Eliza wa tegeta.
Hahaha.... Sijui nini wewe!!!Switlady na klorokwini: watu wahoji kulikoni..? Wakutwa beach klorokwini akimfundisha switlady kuogelea kwa siri..wajifanya eti wanagombana baada ya waandishi kutokea..
Wewe umeanza radio kabisa... hahahahaHabari zilizotufikia hivi punde zinasema lile bepari la kihaya lijulikanalo kwa jina la Bishanga a.k.a baba ya totozi na gesti za uchochoroni ameamua kumpokea yesu....tukio hilo limetokea katika kanisa mchungaji maarufu wa jf anaejulikana kwa jina la Masanilo...akithibitisha kutokea kwa tukio hilo Bishanga amekiri kumpokea yesu na sasa yupo huru na hana tena minyororo ya dhambi...
Wakati huo huo Asprin afikishwa kituo kikuu cha polisi, hii ni baada ya Kaizer kumfuma akiwa chumbani kwake na mkewe Ashadii haikuweza kufahamika mara moja walikuwa wanafanya nini...mwandishi wetu Lizzy yupo njiani kuelekea kituo cha polisi kwa habari zaidi....
Arusha: Mr. Rocky akamatwa maeneo ya mtaa wa bondeni akiwa na kg 10 za mirungi pamoja na misokoto 20 ya bange haya yamesemwa na mwandishi wetu Paka Jimmy kwa habari zaidi fungua uk 11....
Aiseee!!! Nakupata sawa sawia ingawa kelele za haya maandamo zimezidi kuwa kubwa hii ni baada ya wadada wa JF kuthibitisha kuwa wataingia porini na wengine wataenda Zanzibar kujichimbia na hao popobawa...kwa sasa Excellent nimepata habari kuwa anashikiliwa kituo cha polisi kwa tuhuma za kukutwa na akimpaka rangi kimahaba mke wa The Boss"Bora tulale na popobawa kuliko wanaume wa JF" walisikika wadada wa JF wakipiga makelele maandamanoni katika kile walichokiita ni kuipinga sredi ya nyumba ndogo ya The Boss kwa vitendo.
Tuunganeni na Ripota wetu The Finest na Excellent wakiwa huko "mwali hakogi, mwanaume hapigi mswaki" watupe habari kamili,
The Finest unatupata?
Excellent?
Wewe umeanza radio kabisa... hahahaha
Lol RR si nimeona mwenzangu klorokwini anaripoti laivu?...hapa ni kuripoti live afu waandishi wa shigongo wapeleke gazeti la ijumaa.Wewe umeanza radio kabisa... hahahaha
Wadada hao walianzisha maandamano ambayo ilichukua umbali wa kilometa kama 20 huku wameshika mabango yaliyosomeka,"Bora tulale na popobawa kuliko wanaume wa JF" walisikika wadada wa JF wakipiga makelele maandamanoni katika kile walichokiita ni kuipinga sredi ya nyumba ndogo ya The Boss kwa vitendo.
Tuunganeni na Ripota wetu The Finest na Excellent wakiwa huko "mwali hakogi, mwanaume hapigi mswaki" watupe habari kamili,
The Finest unatupata?
Excellent?
Nimecheka bila nukta wala koma hapo kwenye kujichimbia na popobawa....lol.Aiseee!!! Nakupata sawa sawia ingawa kelele za haya maandamo zimezidi kuwa kubwa hii ni baada ya wadada wa JF kuthibitisha kuwa wataingia porini na wengine wataenda Zanzibar kujichimbia na hao popobawa...kwa sasa Excellent nimepata habari kuwa anashikiliwa kituo cha polisi kwa tuhuma za kukutwa na akimpaka rangi kimahaba mke wa The Boss
Aiseee!!! Nakupata sawa sawia ingawa kelele za haya maandamo zimezidi kuwa kubwa hii ni baada ya wadada wa JF kuthibitisha kuwa wataingia porini na wengine wataenda Zanzibar kujichimbia na hao popobawa...kwa sasa Excellent nimepata habari kuwa anashikiliwa kituo cha polisi kwa tuhuma za kukutwa na akimpaka rangi kimahaba mke wa The Boss