klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,147
Babu aspirin abambwa huku akiwa kavaa sun glass anaangalia kuku wakisex, chanzo chetu kimenyetisha
Dah! atakua kakomesha wengi. Kwaza washawasha, figaniga, alafu Memo (Asee...Duh!) na wengine wengi...Paw apiga marufuku matumizi ya vijineno vikolezeo kama lol, aisee, hakyanani, jf is never boring, wanchekesha, hunijui sikujui achana na mimi
asema adhabu ya matumizi hayo ni life ban
waleta mtambo wa kung'amua hata ukijiandikisha kwa ID nyingine unakula ban hadi kwenye nyumba yako unayoishi
Hii kali! yaani naona kabisa wanafunzi fulani wa chuo chetu those days wangeweza kujitetea hivo! hahahahaThe Finest apandishwa kizimbani kwa kosa la kujisaidia kwenye gari la manispaa, akijitetea mahakamani amesema hiyo ni aina mpya ya maandamano ambayo ameianzisha ili serikali iangalie upya suala la mgao wa umeme.
Kutokana na kwamba JF imeweza kuwa mtandao mkubwa ambao imetokea kuwepo hata Masupastaa wake nadhani ni muda mwafaka kwa wajasiriamali tukaanzisha Gazeti letu ambalo litakuwa linatoa habari kuhusu watu maarufu wa Jf, nina imani tutapata soko.
hebu fikiria vichwa vya habari kama:
--"Siwezi kuchangia mada bila kuvuta msuba" King'asti
--"Sitaki mwingine, wa sasa ananitosha" Nazjaz
--Nyani Ngabu abaka tena, madaktari wasema tatizo lake linatibika
--Kongosho aapa kunywa sumu iwapo atamkosa The Boss
--Mzee Mwanakijiji afumaniwa na Agel Msoffe wakiwa katika mkao wa hatari
--"Marafiki zangu wote ni wanafiki" - Lizzy
--"Ninamzimia sana Invizibo" - Mamndenyi
--Mzee Mtambuzi akiri kumsaliti mkewe mara kumi
--"Nimashatembea na wanawake 1000" - Bishanga
--Figanigga aka mzee wa Mia apata kimwana mpya, asema ndoa ni kabla ya mwaka mpya
--Kumbe na usista duu wake wote Husninyo anaishi kwa mikopo!!!!
--The Finest agonganisha vimwana, mwenyewe aingia mitini , tifu zito latokea
--"Nilianza kunywa pombe nikiwa na miaka mitatu" - Babu Asprin
--Asilimia kubwa ya waumini wangu ni Wanawake - Rev Masanilo
--PAW amlima Ban Washawasha kwa kulog off kila mara
--Saint Ivuga anyang'anywa mke
Hivyo ni kwa uchache tu, wazo hilo kwa yeyote ambaye yuko interestedi awasiliane na mimi tuanze utaratibu wa kulisajili Gazeti letu kabla ya mwaka mpya.
Mapendo.
TANMO
lizzy na klorokwini waendelea na mipango ya 'party ya kusheherekea phd ya kloro'
ingawa imethibitika hiko chuo ndio kile cha mrema na mama rwakatare lol
Ashadii afichua siri. Aeleza JF udaku kwamba alifeli chekechea, "bila mzee wangu kunipa sukari nimpelekee mwalimu mkuu siku ya krisimasi nisingeingia darasa la kwanza. Huko nako kilichonifanikisha ni kuibia mtihani wa muandiko.Haki ya nani bila hivyo nisingekua naandika thread zilizonyooka" alinukuliwa akisema huku akionyesha namba za LIKE alizopokea.
Habari hizo zinaendelea kusema kwamba , hata alipokutana na Kaizer ilibidi wauze vitumbua na kumhonga msimamizi wa mtihani redio ya mbao isiozidi thamani ya elfu sita enzi za ninteen hakuna kondom ili Ashadii afanikiwe lengo lake hilo, mapenzi ya wawili hao yamebatizwa jina la "titanic wa kiborloni" ili kuenzi jitihada zao bila kujali uhalali wake.
hahahahaha, kwa hiyo unajitoa sadaka kwa kumnukuu au? hahahahaha" Nikikosa wa kum BAN mpaka krismass nitaji BAN mwenyewe" .....PAW alisema kwa hasira
Kamera zetu zimewanasa MJ1 na Mbu wakilishana karanga badili ya zabibu, Na wapendanao wawili hao walikuwa wepesi sana kuzielekeza shutuma zao kwa ugumu wa maisha uliosababishwa na serikali ya CCM ambao umewakosesha wao uwezo wa kumiliki hela ya kununua zabibu