Gazeti letu la Udaku JF..

Gazeti letu la Udaku JF..

Kongosho amnunua mke wa TOWASHI
Feisi buku aanika mwanaume wa kumuoa...Ni JF Premium Member
Washawasha amzimia RussianRoulette, PM zao zagundulika.
Mzee Mwanakijiji abambikiziwa watoto.
Figganigga:Wanawake mashangingi wananinyima usingizi

Kimenuka, sniper apigwa faini bil 2.8 na kutakiwa kuomba msamaha front page ya gazeti la jf kwa mda wa siku saba, Ni baada ya kuandika habari za uongo kuhusu figganigga. hayo yamesemwa na mwanasheria wa figganigga ndugu krolokwin. Mia
 
spider alijifanya mbabe sasa kapatikana...alikuwa anapiga chabo nyumbani kwa katavi
fumanizi2.jpg

mia

Ahahahaah!! Hii thread imejaa vituko. Mia!
 
Salute mkuu ahahaaakwa kuongezea
invisible afumaniwa na mke wa paw
the finest afumwa gesti na faiza fox

nyani ngabu achezea kichapo chooni airport alikuwa anamtorosha mke wa krolokwin

YO YO amvalisha pete ya uchumba smile

ashadiii arudi jukwaani kwa mbwembe barabara zote zafungwa

asprini afumaniwa tena na baamedi walikuwa uchi kaunta mchana kweupeeeeee

rejao aula ikulu,ritz atupwa wizarani

malaria sugu kampokea yesu jangwani arudisha vibuyu vyote vya uchawi,asema alirithi kwa jirani yake

the boss aoa tena mke wa pili azua balaa harusini

lizzy aachika tena kwa the finest sasa ajichimbia kwa mr rocky mke wa mr rocky aja juu

afrodenzi alilia penzi lake na nyani ngabu asema watu wanamloga

fesi buku na cantalisia wamgombania figaniga mzee wa mia bilcanas

bishanga afumaniwa na mwanafunzi kwenye gari,ni mtoto wa baba mwenye nyumba wake

mamndenyi arudi kwa mumewe asema hawakukutana vichochoroni wapambe jinyongeni

dr riwa afumaniwa na mama mjamzito adai alikuwa anamkanda tumbo mtoto kakaa vibaya

mzizimkavu afumwa live na kizee usiku wa manane uchi adai alikuwa anamfundisha tiba asilia

invisible aachia ushuzi kwenye kikao,wadhamini wajitoa kusaidia jamii forums alimwa barua ya kuachishwa kazi

aminata amwibia mzungu hotelini,ajichimbia south kwasaint ivuga

nasjaz adai wanaume wa bongo hawajui mapenzi sasa hv kujichimbia uarabuni tu

Rejao afanyiwa plastic surgery ya masaburi madaktari wakosea wamdunga sindano ya cement

KIZAAZAA JF MOD ARRAY ACHOKA KUSOMA PM AZIACHIA KWA MEMBER WOTE PM ZAANIKWA HALI TETE JF WATU WOTE WALOG OFF WAJA NA ID MPYA

nitaendelea badae

Lohhh, nyie watoto hamna shangazi zenu wakuwatania?
 
Lizzy sasa afunguka, adai yeye na yutong ni wachumba
avikwa pete ya uchumba kisirisiri
wazazi wasema hawajui
JF udaku yalonga na yutong
 
Rajeo aitwa ikulu usiku wa manane
magari yatembea kama msafara wa rais
adaiwa kumfitinisha RIZIKI WANI na baba yake
Luhando sasa ahaha kutafuta muafaka
 
Flora Msofe atoa kali ya mwaka
-adaiwa kugombania uji msibani
-atoweka na handbag ya wizi
-Habari zaidi ukurasa wa 7
 
Lohhh, nyie watoto hamna shangazi zenu wakuwatania?

Dada Faiza naomba msaada hebu niambie maana ya jina Faiza coz juz nilikuwa naperuz JF nkakutana na posts zako jinsi ulivyokuwa ukitoa Ilmu nkajikuta nimemwambia mke wangu ambae ni mjamzito kuwa akijifungua mtoto wa kike tumuite Faiza na yeye alikubali je hilo jina linamaanisha nini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom