Gazeti letu la Udaku JF..

eliza wa kwako bwana mambo
ya kutuletea mabaameid wenu kutupiga mkwra humu jf sio vizuri bwana mnawaregister huku wa nini?
Hahahaha.......haya ndo mabreaking newz ya gazeti letu bana!

Babu Aspirin akutwa chocho mbaya na Eliza.Fidel aja juu,anadai alishamhonga Eliza laptop na kumpangia geto.
Hatimaye siri yafichuka; Yabainika ugonjwa wa daughter kaambukizwa na PAW. Yasemekana kondom ilipasuka wakati daughter akiyakata mauno.
 
Hahahaha.......haya ndo mabreaking newz ya gazeti letu bana!

Hatimaye siri yafichuka; Yabainika ugonjwa wa daughter kaambukizwa na PAW. Yasemekana kondom ilipasuka wakati daughter akiyakata mauno.

hahaha jamani we babu mbavu zangu mie
 
Kongosho amnunua mke wa TOWASHI
Feisi buku aanika mwanaume wa kumuoa...Ni JF Premium Member
Washawasha amzimia RussianRoulette, PM zao zagundulika.
Mzee Mwanakijiji abambikiziwa watoto. DNA yaonesha baba ni Malaria Sugu.
Rejao ajiunga Chadema, afichua maovu ya magamba
Faiza Foxy Anaswa akila kiti moto. Ajiumauma ashindwa kujitetetea
Figganigga:Wanawake mashangingi wananinyima usingizi
Eliza wa Tegeta adaiwa kuchukua mume wa mtu, mwenyewe adai alikuwa nae toka zamani

naipenda jf kuliko chips!
 
Avatar ya Feisi buku yazua utata! JF Members wapigana vikumbo kwenye PM
Lizzy: Hakuna mwanaume wa kunioa bongo
Tafrani yazuka jukwaa la Mambo ya kikubwa! Ni baada ya picha ya Mod akijivinjari na member wa JF kupostiwa.
Vijana wa facebook wagombania jimama la JF.
Firstlady1 avishwa pete na mume wa mtu!
JF yapata mushkeli, PM za members zamwagika kwenye jukwaa
Faiza Foxy akutwa tilalila show ya khanga moja Ndembendembe!
Vidume wa JF wanaotumia ID za kike wagundulika! PAW kuwapiga life ban!
Preta: Nimechoka kusubiri ndoa heri nizae sasa!
ID anayotumia JK JF yagundulika. Invisible akataa kuzungumza.
 
Hatimaye siri yafichuka: Yagundulika Daughter ni MWANAUME!..... Klorokwini atimua mbio baada ya kukutana naye kwenye miadi ya kungonoka!
tehe tehe...miadi ya ku nini...!?? ndo ku nini huko...!??Mbona unataka watu waanze ku nini tena..!??
 
Avatar ya Feisi buku yazua utata! JF Members wapigana vikumbo kwenye PMLizzy: Hakuna mwanaume wa kunioa bongoTafrani yazuka jukwaa la Mambo ya kikubwa! Ni baada ya picha ya Mod akijivinjari na member wa JF kupostiwa.Vijana wa facebook wagombania jimama la JF.Firstlady1 avishwa pete na mume wa mtu!JF yapata mushkeli, PM za members zamwagika kwenye jukwaaFaiza Foxy akutwa tilalila show ya khanga moja Ndembendembe!Vidume wa JF wanaotumia ID za kike wagundulika! PAW kuwapiga life ban!Preta: Nimechoka kusubiri ndoa heri nizae sasa!ID anayotumia JK JF yagundulika. Invisible akataa kuzungumza.
mwee!! hizi kali za kufungia mwaka!
 

Similar Discussions

63 Reactions
Reply
Back
Top Bottom