The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,602
- 6,097
Hakyanani...hahaha...TANMO...TANMO...TANMOLile sakata la The Finest kugonganisha vimwana lachukua sura mpya: Mkewe aibuka na kuapa kumpa funzo la mwaka
Hakyanani...hahaha...TANMO...TANMO...TANMOLile sakata la The Finest kugonganisha vimwana lachukua sura mpya: Mkewe aibuka na kuapa kumpa funzo la mwaka
Kila nikisoma hii thread niishia kucheka nashindwa hata kuchangia
Hahahahahahahaha! Napita tu.
Lol....ritz aisee hii kiboko huyu jamaa angekuwepo hapa angeandamana kukanushaAsprin apiga puchu mara 4 kwa siku akitumia Lotion..lol..
Khah! Lizzy achat kwa simu ya kuazima na buzi, anyang'anywa, ahaha kuingia jf
TANMO...SMILEY...SNIPER na YUTONG nyie watu hamjatulia kabisa.
Yani nimecheka mpaka basi , kweli hii ni thread ya mwezi.Big up TANMO.
Nikipata simu mpya ntajibu skendo zote zinazonihusu,untill then NO KOMENTI.
Lizzy utakuwa mchawi wewe...lol...yaani nasoma hii comment yako huku nasikia na message inaingia kwenye simu.Fynest atupiwa virago, ni baada ya mkewe kubamba esiem'esi ya mapenzi kwenye simu yake.
Picha za Husninyo akiwa bafuni akioga zazua utata...watu wahoji kapigwa na nani?..
Husninyo aadhirika mbele ya kadamnasi: ni baada ya shoga yake kumnyang'anya viatu alivyomuazima. The Finest amuokoa kwa kumpa lifti ya Bodaboda lake