Gazeti letu la Udaku JF..

Gazeti letu la Udaku JF..

yagundilka kuwa Mafili na Topical ni wala kitimoto maarufu
Ritz ahisiwa kuwa ni gay, alonga adai kuwa David Cameroon ni ''role model'' wake
 
@ NY aunyemelea urais wa Tz amuhofia Chama..... Jason Bourne ndio mgawa ngawira
 
Ni ukweli hivyo

Kongosho adai ndiye mmiliki wa Hunijui sikujui achana na mimi

:lol::lol::lol:.....Nyie watu nyie....najaribu kufikiria huu udaku ungekuwa wa ukweli sijui ingekuwaje....:lol::lol:
 
JF kufungwa, wanajf wote kufutwa uanachama,kisa jukwaa la MMU ladaiwa kuongoza kuvunja ndoa za watu ikiwemo ya MOD..inadaiwa ili kupewa uanachama upya ni lazima utume cheti halali cha kuzaliwa na picha ya passpoti size .. Malariasugu aja juu,aandaa maandamano kupinga..
 
TANMO...SMILEY...SNIPER na YUTONG nyie watu hamjatulia kabisa.

Yani nimecheka mpaka basi , kweli hii ni thread ya mwezi.Big up TANMO.

Nikipata simu mpya ntajibu skendo zote zinazonihusu,untill then NO KOMENTI.
 
TANMO aswekwa rumane ni baada ya kuanzisha danguro...machangudoa wasilmulia kilichokuwa kinaendelea humo ndani ya danguro..alikuwa anawamega kila siku asubuhi..wtano wakutwa na mimba za Tanmo..alikamatwa ndani ya basi akitoroka kuelekea somalia ..alikuwa amejifunga hijabu ...

Hii lazima Mhariri ataibania isirushwe hewani, maana inamhusu..
 
X-Pastor abambikiwa kesi nzito,amwaga chozi kama mtoto,asema Yesu ni yule wa jana,leo na hata milele atamtetea.
Feisbuk akutwa kwenye nyumba moja ya starehe akikata mauno hadharani.
Washawasha tabia zampoza,atongoza huko Pm,alipokuna naye kumbe ni boss wake
 
Please Mods, stick this.
Huwezi kuamini jinsi ilivyonisaidia kupunguza stress leo... sijacheka peke yangu muda mrefu sana na watu wananishangaa hapa ofisini imekuweje

Mpita njia apitiwa na usingizi kwenye Daladala, ashtuka wakati gari limefika Mbagala, na yeye alikuwa anatokea Mwenge kuelekea Kinondoni Studio kuwahi Intavyuu..
 
Rajeo aitwa ikulu usiku wa manane
magari yatembea kama msafara wa rais
adaiwa kumfitinisha RIZIKI WANI na baba yake
Luhando sasa ahaha kutafuta muafaka
yutong..yutong..yutong..yutong..yutong..yutong..yutong!!!
 
Hili gazeti la udaku mimi nitakuwa sina skendo kabisa

Lile sakata la The Finest kugonganisha vimwana lachukua sura mpya: Mkewe aibuka na kuapa kumpa funzo la mwaka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom