zimmerman
JF-Expert Member
- Feb 17, 2011
- 1,628
- 3,155
Jamani kuna gazeti moja hapa nchini linalomilikiwa na kikundi fulani cha waislam linalotoka mara moja kwa wiki, An-Nuur, lenyewe linajiita Sauti ya Waislam, kila toleo lake ni kuandika makala za kichochezi chochezi tu. Limekaa kishari sana hili gazeti. Mfano toleo la wiki hii limeandika : (Waikela) ataka Waislam kuwa tayari kwa Jihad.
Halafu ndani kuna maneno yafuatayao : «Masheikh wazunguke watutafute tunaotaka kumfia Mwenyezi Mungu, tukishafika watu wachache inatosha, msipoteze muda na wale wasiotaka kukfia Allah (sw), waacheni wabaki na serikali yao. Sina hofu na kwamba Waislam wakiamua wanaweza na wanatisha bila kujali wingi. »
Na tena : « watafutwe Waislamu hata kumi tu, kwa ajili ya mwenyezi Mungu kwa ajili ya kukomesha hali hii »
My take: Hawa si watu wa kudharau a na haya si maneno ya kupuuza. Hivi ndivyo Al Shabab ya Somalia, Taliban ya Pakistan na Afghanstan na makundi mbalimbali ya kigaidi huko Nigeria na duniani kote yalivyoanza.