Gazeti la An-Nuur na Kuchochea Ugaidi

Status
Not open for further replies.

zimmerman

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
1,628
3,155
Jamani kuna gazeti moja hapa nchini linalomilikiwa na kikundi fulani cha waislam linalotoka mara moja kwa wiki, An-Nuur, lenyewe linajiita Sauti ya Waislam, kila toleo lake ni kuandika makala za kichochezi chochezi tu. Limekaa kishari sana hili gazeti. Mfano toleo la wiki hii limeandika : (Waikela) ataka Waislam kuwa tayari kwa Jihad.

Halafu ndani kuna maneno yafuatayao : «Masheikh wazunguke watutafute tunaotaka kumfia Mwenyezi Mungu, tukishafika watu wachache inatosha, msipoteze muda na wale wasiotaka kukfia Allah (sw), waacheni wabaki na serikali yao. Sina hofu na kwamba Waislam wakiamua wanaweza na wanatisha bila kujali wingi. »

Na tena : « …watafutwe Waislamu hata kumi tu, kwa ajili ya mwenyezi Mungu kwa ajili ya kukomesha hali hii… »

My take: Hawa si watu wa kudharau a na haya si maneno ya kupuuza. Hivi ndivyo Al Shabab ya Somalia, Taliban ya Pakistan na Afghanstan na makundi mbalimbali ya kigaidi huko Nigeria na duniani kote yalivyoanza.
 
Tatizo hapa ni Mkubwa si kama hawaoni bali anajua baada ya kupoteza Imani za Watz, hawa ndio watu pekee piga ua wanaomtetea na wanaomuunga mkono. Vinginevyo wasingeendeleza Ukharo wao huo.
 
Wanapoteza muda .Tutawashughulikia tu hawana lolote wanakurupuka tu hao.Kwanza nangoja kuwaona kama wanaume kweli wanaingia mtaani kudai kw nguvu habari ya Kadhi mkuu baa ya kuelezwa ukweli .Waanze na hilo waone moto.
 
Hebu fafanua vizuri kuwa habari ilikuwa inahusu nini! Na lengo la mwandishi lilikuwa lipi kutokana na wewe ulivyoelewa. Acha kutuletea habari nusunusu.
 
Hao jamaa wa mwenye nyumba, waache tu miaka yao mitano ya kujidai nani awaguse?! He he hee! Na mahakama yako ya kazi(kadhi) za ndoa na matanga ndo kushnei ! Unajua bana kwa udogo wa akili zao wanadhani kuna mtu Bongo anataka vita, hivi tunaibiwa weee na Magamba ni poa tu nani mwehu wa kupigana?! Hii ndo bongo bwana, michongo tu na uongo mwanzo mwisho kwanza wenye dini wako saudia hao al nuur wanabwata tu uislamu wanaujua hao? He he he! Wakiwa tayari na kijeshi chao mimi nitajitolea kuwafundisha fani yangu ya Mabomu niliyosomeshwa kwa kodi ya nchi hii, mayb watakua serious and we gonna have some funny! Bt who is the Target?
 
Jamani kuna gazeti moja hapa nchini linalomilikiwa na kikundi fulani cha waislam linalotoka mara moja kwa wiki, An-Nuur, lenyewe linajiita Sauti ya Waislam, kila toleo lake ni kuandika makala za kichochezi chochezi tu. Limekaa kishari sana hili gazeti. Mfano toleo la wiki hii limeandika : (Waikela) ataka Waislam kuwa tayari kwa Jihad.

Halafu ndani kuna maneno yafuatayao : «Masheikh wazunguke watutafute tunaotaka kumfia Mwenyezi Mungu, tukishafika watu wachache inatosha, msipoteze muda na wale wasiotaka kukfia Allah (sw), waacheni wabaki na serikali yao. Sina hofu na kwamba Waislam wakiamua wanaweza na wanatisha bila kujali wingi. »

Na tena : « …watafutwe Waislamu hata kumi tu, kwa ajili ya mwenyezi Mungu kwa ajili ya kukomesha hali hii… »

My take: Hawa si watu wa kudharau a na haya si maneno ya kupuuza. Hivi ndivyo Al Shabab ya Somalia, Taliban ya Pakistan na Afghanstan na makundi mbalimbali ya kigaidi huko Nigeria na duniani kote yalivyoanza.

Masheikh Ubwabwa mweupe hao hawana lolote
 
Serikali imelala siku ikiamuka itawashughulikia na haitajali kama Rais ni muislam mwenzao
 
Unatukana weng angalia ucje ukajuta bde
Hao jamaa wa mwenye nyumba, waache tu miaka yao mitano ya kujidai nani awaguse?! He he hee! Na mahakama yako ya kazi(kadhi) za ndoa na matanga ndo kushnei ! Unajua bana kwa udogo wa akili zao wanadhani kuna mtu Bongo anataka vita, hivi tunaibiwa weee na Magamba ni poa tu nani mwehu wa kupigana?! Hii ndo bongo bwana, michongo tu na uongo mwanzo mwisho kwanza wenye dini wako saudia hao al nuur wanabwata tu uislamu wanaujua hao? He he he! Wakiwa tayari na kijeshi chao mimi nitajitolea kuwafundisha fani yangu ya Mabomu niliyosomeshwa kwa kodi ya nchi hii, mayb watakua serious and we gonna have some funny! Bt who is the Target?
<br />
<br />
 
Inshu co ccm,cdm,wala nn unapotukana uislam hamna atayevumilia awe cdm,cuf,ccm simba yanga mtibwa woote kitu moja so angalien mnachsema
 
Lipi ambalo wewe unaliona hapa kwamba ni tusi dhidi ya Uislam?? Nawe acha kubwabwaja ovyo!
 
hawawezi kufanya vitu bila democracy? kila kitu lazima kutishana na kuogopeshana?

Kwanini lazima waweke maneno ya kutisha ?
 
Jamani kuna gazeti moja hapa nchini linalomilikiwa na kikundi fulani cha waislam linalotoka mara moja kwa wiki, An-Nuur, lenyewe linajiita Sauti ya Waislam, kila toleo lake ni kuandika makala za kichochezi chochezi tu. Limekaa kishari sana hili gazeti. Mfano toleo la wiki hii limeandika : (Waikela) ataka Waislam kuwa tayari kwa Jihad.

Halafu ndani kuna maneno yafuatayao : «Masheikh wazunguke watutafute tunaotaka kumfia Mwenyezi Mungu, tukishafika watu wachache inatosha, msipoteze muda na wale wasiotaka kukfia Allah (sw), waacheni wabaki na serikali yao. Sina hofu na kwamba Waislam wakiamua wanaweza na wanatisha bila kujali wingi. »

Na tena : « …watafutwe Waislamu hata kumi tu, kwa ajili ya mwenyezi Mungu kwa ajili ya kukomesha hali hii… »

My take: Hawa si watu wa kudharau a na haya si maneno ya kupuuza. Hivi ndivyo Al Shabab ya Somalia, Taliban ya Pakistan na Afghanstan na makundi mbalimbali ya kigaidi huko Nigeria na duniani kote yalivyoanza.

Siamini kama mtu anayemwabudu Mungu wa kweli na mwenye upendo kwake anaweza kuwa adui wa watu walioumbwa na Mungu na kuanza kuwaua na bado akaendelea kumwabudu Mungu yuleyule! Nadhani inabidi tutofautishe kati ya kuwa mwanadini (kuamini na kuishi kama Mungu anavyotaka) na kuwa mwendawazimu (mtu kuishi katika ulimwengu wake mwenyewe). I'm sorry! Wanaoshabikia mauaji kama haya siyo waumini wa dini ni wendawazimu tu!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom