Gazeti la An-Nuur na Kuchochea Ugaidi

Status
Not open for further replies.
Wanapoteza muda .Tutawashughulikia tu hawana lolote wanakurupuka tu hao.Kwanza nangoja kuwaona kama wanaume kweli wanaingia mtaani kudai kw nguvu habari ya Kadhi mkuu baa ya kuelezwa ukweli .Waanze na hilo waone moto.

Unamtishia nani ..ahatishwi mtu hapa...

wakushughulikiwa ni wale wanaompiga mkuu wilay siyo mtu anahubiri dini yake..

ala wao ni dhaifu kiasi kwamba anahitaji wanadamu wamsaidie kupigana..!!

eti watatumia bajaj kulipua ASKARI MONUMENMT. ..! NUTS!!!!!!!!!
manake hawajui kurusha ndege. !

Siamini kama mtu anayemwabudu Mungu wa kweli na mwenye upendo kwake anaweza kuwa adui wa watu walioumbwa na Mungu na kuanza kuwaua na bado akaendelea kumwabudu Mungu yuleyule! Nadhani inabidi tutofautishe kati ya kuwa mwanadini (kuamini na kuishi kama Mungu anavyotaka) na kuwa mwendawazimu (mtu kuishi katika ulimwengu wake mwenyewe). I'm sorry! Wanaoshabikia mauaji kama haya siyo waumini wa dini ni wendawazimu tu!

Huwa najiuliza mambo yanayotoke huko paskistan,iraq, afghan, somalia, indonesia n.k jammaa wanauwa waislamu wenzao mamia kwa mamia kisa kuuwa mkristo au myahudi mmoja. Naamini hao si waislam hata kidogo na si wanadini (wana mawazo yao)

Nalianzisha vagi -
Jamani ebu nifahamisheni kitu kimoja, nashindwa sana kuwaelewa Makristo.
Viongozi wa Chadema wanapokuwa majukwaani husema maneno kama haya na hata wanachama wa CDM husema maneno haya haya dhidi ya CCM na serikali, inakuwaje ni makosa kwenu wanaposema Waislaam?

Halafu kwa nini matusi yanawatoka sana kuwatukana waislaam kuwa wajinga hawana elimu dunia isipokuwa ya madrasa na kadhalika hivi nyie mmeelimika kitu gani? - Kuamini kwamba Yesu ni Mungu?
Haya sawa sisi wajinga, wapumbavu na kadhalika - Nyie mlosoma nambieni ni ktk kutumia elimu gani ya dunia (Sayansi) mtu anaweza kuamini Yesu ni Mungu?

Jamani kuna gazeti moja hapa nchini linalomilikiwa na kikundi fulani cha waislam linalotoka mara moja kwa wiki, An-Nuur, lenyewe linajiita Sauti ya Waislam, kila toleo lake ni kuandika makala za kichochezi chochezi tu. Limekaa kishari sana hili gazeti. Mfano toleo la wiki hii limeandika : (Waikela) ataka Waislam kuwa tayari kwa Jihad.

Halafu ndani kuna maneno yafuatayao : «Masheikh wazunguke watutafute tunaotaka kumfia Mwenyezi Mungu, tukishafika watu wachache inatosha, msipoteze muda na wale wasiotaka kukfia Allah (sw), waacheni wabaki na serikali yao. Sina hofu na kwamba Waislam wakiamua wanaweza na wanatisha bila kujali wingi. »

Na tena : « …watafutwe Waislamu hata kumi tu, kwa ajili ya mwenyezi Mungu kwa ajili ya kukomesha hali hii… »

My take: Hawa si watu wa kudharau a na haya si maneno ya kupuuza. Hivi ndivyo Al Shabab ya Somalia, Taliban ya Pakistan na Afghanstan na makundi mbalimbali ya kigaidi huko Nigeria na duniani kote yalivyoanza.

Alnur wamesema ukweli inabidi tuwasifu na kuwapongeza, masheikh itikieni wito huo tuondoe dhulma, dharau ili haki itawale...

ila hakuna haja na kuwa na wasiwasi...! MANAKE HAKUNA MTZ WA KUJILIPUA....AFE ILI AACHE KWENDA TAARAB??? wapi hiyo?

Nalianzisha vagi -
Jamani ebu nifahamisheni kitu kimoja, nashindwa sana kuwaelewa Makristo.
Viongozi wa Chadema wanapokuwa majukwaani husema maneno kama haya na hata wanachama wa CDM husema maneno haya haya dhidi ya CCM na serikali, inakuwaje ni makosa kwenu wanaposema Waislaam?

Halafu kwa nini matusi yanawatoka sana kuwatukana waislaam kuwa wajinga hawana elimu dunia isipokuwa ya madrasa na kadhalika hivi nyie mmeelimika kitu gani? - Kuamini kwamba Yesu ni Mungu?
Haya sawa sisi wajinga, wapumbavu na kadhalika - Nyie mlosoma nambieni ni ktk kutumia elimu gani ya dunia (Sayansi) mtu anaweza kuamini Yesu ni Mungu?

Ah Mukandara, sidhani kama ni muhimu kwenda kwenye arguments za Ukristo vs Uislam au Makristo vs Waislam kwenye hii thread. Nahisi wewe ni muumini wa dini ya kiislam reasonable, na kama ni hivyo ni lazima utakuwa unakubaliana na mimi kwamba lile gazeti la an-nuur wanavuka mipaka ya uhuru wa maoni kikatiba. Kama huwezi kuliona hilo basi hakuna tumaini kabisa miongoni mwa jamii ya watanzania wenzetu waislam. Kila muislam yeyote sensible anapaswa kukataa ideologies za hawa watu wa an-nuur. Hawako realistic, hawako kiamani, hawako kiislam. Hawatetei maslahi ya waislamu bali wanataka kutumia jukwaa la dini ya kiislamu kujijengea cheap popularity kwa migongo ya waislamu wachache wanaopandikizwa hisia za kujihisi wanaonewa na serikali au wakristo. Jamani mbona hii serikali ni yenu nyie waislam? na mbona wakristo ni ndugu zenu, jirani zenu, wanapanga kwenye nyumba zenu, mnapanga kwenye nyumba zao, wananunua kwenye maduka yenu na mnanunu kwenye maduka yao? Hamuoni kwamba hawa an-nuur si watu wema kwa pande zote mbili?

Alnur wamesema ukweli inabidi tuwasifu na kuwapongeza, masheikh itikieni wito huo tuondoe dhulma, dharau ili haki itawale...

Mimi nilidhani ungekuwa wa kwanza kujitolea!

"We love death. The U.S. loves life. That is the difference between us two."
- Osama bin Laden

Wa Tz wote wanapenda life, so forget it.

‘Jihad is ordained for you (Muslims) though you dislike it, and it may be that you dislike something which is good for you and that you like something which is bad for you. Allah knows but you do not know.’(Surat-al-Baqarah (2), ayah 216)

Ungekuwa mwenye busara ungeunga mkono kampeni ya kupata watu kumi au we unalidhika na amani ya kuendelea kuibiwa?, kuwa na mgao wa umeme siku mzima huku tunawalipa dowans?. Soma kwa makini hizo makala kabla ya kuleta upuuzi wako hapa au umetumwa?

JUMUIA YA KIMATAIFA HIVI SASA INAFUATILIA KWA KARIBU MNO 'SAYANSI' ZOTE ZA
KUJARIBU KU-KODISHA MAGAIDI KUSAIDIA KUZUIA MABADILIKO IGUNGA

Hizi ni dalili za SIASA ZA KIKUNDI au chama kilichofilisika na kukosa kabisa mvuto mbele ya jamii yake. Jahadi na siasa za kumng'oa
FISADI ROSTAM AZIZ kule Igunga wapi na wapi - kelele hizo!!!!!!!!!!!!!

Hizo ni zile mbinu chafu za kile kile chama tawala kufadhili udini na matawi yake yote ya KI-GAIDI nchini kwa lengo la kutishia watu NYAU PAMOJA NA NYOKA ALIYEKUFA, kusababisha vurugu na kuyumbisha uchaguzi kwa kuwatisha WAPIGA KURA IGUNGA.

Hivi ni nani amewahi kujiuliza walau maswali haya mawili;

(1) kwa nini CCM imepeleka Makamanda kibao wa kuzuia fujo kule Igunga - wenyewe wanafahamu nini tofauti na chaguzi ndogo kwingineko nchini??

(2) kwa nini CCM kimenyamazia maneno hivi vyombo vyote vinavyotoa matamshi ya kigaidi kila mara nchini.

(3) kwa nini hisia za kidini huibuliwa zaidi kila kipindi uchaguzi wowote unapokaribia popote pale nchini????

oleo lake ni kuandika makala za kichochezi chochezi tu. Limekaa kishari sana hili gazeti. Mfano toleo la wiki hii limeandika : (Waikela) ataka Waislam kuwa tayari kwa Jihad.
Jamani kuna gazeti moja hapa nchini linalomilikiwa na kikundi fulani cha waislam linalotoka mara moja kwa wiki, An-Nuur, lenyewe linajiita Sauti ya Waislam, kila t
Halafu ndani kuna maneno yafuatayao : «Masheikh wazunguke watutafute tunaotaka kumfia Mwenyezi Mungu, tukishafika watu wachache inatosha, msipoteze muda na wale wasiotaka kukfia Allah (sw), waacheni wabaki na serikali yao. Sina hofu na kwamba Waislam wakiamua wanaweza na wanatisha bila kujali wingi. »

Na tena : « …watafutwe Waislamu hata kumi tu, kwa ajili ya mwenyezi Mungu kwa ajili ya kukomesha hali hii… »

My take: Hawa si watu wa kudharau a na haya si maneno ya kupuuza. Hivi ndivyo Al Shabab ya Somalia, Taliban ya Pakistan na Afghanstan na makundi mbalimbali ya kigaidi huko Nigeria na duniani kote yalivyoanza.

Nalianzisha vagi -

Jamani ebu nifahamisheni kitu kimoja, nashindwa sana kuwaelewa Makristo.

Viongozi wa Chadema wanapokuwa majukwaani husema maneno kama haya na hata wanachama wa CDM husema maneno haya haya dhidi ya CCM na serikali, inakuwaje ni makosa kwenu wanaposema Waislaam?

Halafu kwa nini matusi yanawatoka sana kuwatukana waislaam kuwa wajinga hawana elimu dunia isipokuwa ya madrasa na kadhalika hivi nyie mmeelimika kitu gani? - Kuamini kwamba Yesu ni Mungu?

Haya sawa sisi wajinga, wapumbavu na kadhalika - Nyie mlosoma nambieni ni ktk kutumia elimu gani ya dunia (Sayansi) mtu anaweza kuamini Yesu ni Mungu?

Tehe tehe tehe!!!!
Wewe umetumia sayansi gani kujua Allah ni Mungu?

Nalianzisha vagi -

Jamani ebu nifahamisheni kitu kimoja, nashindwa sana kuwaelewa Makristo.

Viongozi wa Chadema wanapokuwa majukwaani husema maneno kama haya na hata wanachama wa CDM husema maneno haya haya dhidi ya CCM na serikali, inakuwaje ni makosa kwenu wanaposema Waislaam?

Halafu kwa nini matusi yanawatoka sana kuwatukana waislaam kuwa wajinga hawana elimu dunia isipokuwa ya madrasa na kadhalika hivi nyie mmeelimika kitu gani? - Kuamini kwamba Yesu ni Mungu?

Haya sawa sisi wajinga, wapumbavu na kadhalika - Nyie mlosoma nambieni ni ktk kutumia elimu gani ya dunia (Sayansi) mtu anaweza kuamini Yesu ni Mungu?

Viongozi gani wa cdm wamesema maneno gani wapi na lini dhidi ya uislamu?Siamini kama na wewe eti kirahisi hivyo unashabikia udini kwenye siasa!!

we wakilwa , wenzako hawazungumzii tena dowans , ilishakua symbion , ikapakwa mafuta na clinton na sasa ni safi, muulize kwanza 6, kyembe, kilango na wapambanaji feki walioungana na magwanda, nani amebaki analisemea hili?

Viongozi gani wa cdm wamesema maneno gani wapi na lini dhidi ya uislamu?Siamini kama na wewe eti kirahisi hivyo unashabikia udini kwenye siasa!!

Wale waliompiga mkuu wa wilaya, si waliambia na padre wao wafanye hivyo tena kwa mwana mama wangekuwa wa maana wangeshughulika na wanaume shame on them

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom