Gazeti la An-Nuur na Kuchochea Ugaidi

Status
Not open for further replies.
Kumbe Abdulhalim upeo wako wa kufikiri na kuchambua mambo ni mdogo mno ee? Hata alichoongea Pasco hukukielewa, pia hujui kwa nini hizo aeiou unaziita herufi za irabu, inavyoonyesha pia hujui kuwa alphabetical imetokana na Alif Bee Tee Cee ambazo ni purely arabic harf. Sikuwahi kufikiria kuwa ni mdogo hivyo kiupeo. Any way-ndo jf mkuu, jielimishe pia kupitia kwayo.
Sijaona chochote cha kujielimisha kutoka kwa post yako wala ya Pasco. Pole ikurudie wewe mwenyewe, maana nimesheheni maarifa ya kutosha kuhusu hizi mada za dini zenu za kuchonga, na sijaona force ya kunitisha hapa.
 
Mkuu Zimmerman, mbona kwenye habari yako hakuna sehemu yoyote waliotajwa wakristo kama walengwa sasa hawa wenzio hizi comments zao zinatoka wapi? Mbona wasio waislamu ni zaidi ya wakristo, tena iliyolengwa ni Serikali, je nyie wakristo mnaepingana na ulichoposti kwa mujibu wa Annur ni Serikali au ndo mnaowazuilia waislamu hata wakaazimia kufanya hivyo? read btn the lines plz!
Another deluded Muhammadan..Wakiristo ni maadui zenu labda uniambie kama unaishi pangoni ambapo shutma dhidi ya kanisa kutoka kwa wasilamu hukupata kuzisikia kabla, kitu ambacho siamini. Kilichowazi ni kwamba kama walivo wasilamu duniani kote, hutetea chochote kinacholetwa na msilamu mwenzao hata kama hakina mashiko na hii post yako inathibitisha.
 
Pasco katika hilo naomba pia nikupige darasa.. Hagai hakuwa kijakazi kama mnavyofundishwa. Hagai alikuwa mtoto wa kike wa Pharaoh ambaye alimpa Ibrahim kama mistress baada ya yeye Pharaoh kungudua kwamba Sarah alikuwa mkewe Ibrahim.. (mwanzo Pharaoh alimtaka Sarah kimapenzi).. Na ktk mila na desturi zote za wayahudi/waarabu - Ibrahim alifunga ndoa na Hagai baada ya kupata ruksa ya Sarah ambaye kwa uhakika alikuwa sii tu mke wa Ibrahim bali alikuwa pia dada yake wa kuzaliwa na baba mmoja.. Sasa kama kuna haramu ipi kubwa mtu kumwoa na kuzaa na dada yake au kuoa kijakazi na kuzaa naye? Harafu hii ya Hagai kuwa kijakazi na mwanamke haramu unaipata ktk Biblia, kweli hii sii propaganda dhidi ya waarabu na Uislaam?
Fantastic myths..mkipata uthibitisho wa kisayansi mje jamvini, kabla ya hapo bakini hukohuko na myths zenu.
 

Hapo kwenye
brown: Nakubaliana na wewe kwa 100%. By then Mashariki ya Kati na Uarabuni yote ilikuwa na ustaarabu wa hali ya juu na maendeleo makubwa ya sayansi na teknolojia pengine kushinda maeneo mengine ya dunia. Tangu ujenzi wa mapiramidi, maktaba, vyuo vikuu, n.k. Lakini baada ya kuja Mtume na watu wake tunaona ghafla maendeleo yote yalipotea hadi walipoibuka tena wagiriki na maeneo mengine ya dunia kwa maendeleo ya kisasa.
Bado kuna utata wa kwamba ni nani hasa alivumbua namba, 1,2,..9. Lakini hakuna ubishi kwamba wahindi ndio walivumbua zero (0). Lakini warumi walipointeract na wafanyabiashara wa kiarabu waligundua kwamba wanatumia njia rahisi zaidi kufanya mahesabu kwa kutumia digits..na pengine hii ndio inashawishi watu kwamba waarabu ndio walivumbua namba. Hilo la kwanza.

Pili, wakaazi wa mwanzo wa Misri hawakuwa waarabu, sijui mnapata wapi kusema kwa waarabu ndio waliojenga mapyramid? mnachekesha.

Tatu, naeza kusema kwa kinywa kipana alphabets hazikuvumbuliwa na waarabu..hata wikipedia inanisapoti.

Nne, pamoja na eneo la Mashariki ya Kati kuwa na historia ndefu kidogo ambayo imekuwa documented kuhusu elimu na maarifa, huezi kusema wao ndio walioanzisha elimu. Hii ndio hoja niliyokuwa naisimamia tangia mwazo. Hata kama namba, alphabets na magazijuto yamegunduliwa hapo haina maana kwamba ndio kuvumbua elimu. Elimu ni dhana pana sana na ni kichekesho kusema imeanzia mahali fulani.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom