Nalianzisha vagi -

Jamani ebu nifahamisheni kitu kimoja, nashindwa sana kuwaelewa Makristo.

Viongozi wa Chadema wanapokuwa majukwaani husema maneno kama haya na hata wanachama wa CDM husema maneno haya haya dhidi ya CCM na serikali, inakuwaje ni makosa kwenu wanaposema Waislaam?

Halafu kwa nini matusi yanawatoka sana kuwatukana waislaam kuwa wajinga hawana elimu dunia isipokuwa ya madrasa na kadhalika hivi nyie mmeelimika kitu gani? - Kuamini kwamba Yesu ni Mungu?

Haya sawa sisi wajinga, wapumbavu na kadhalika - Nyie mlosoma nambieni ni ktk kutumia elimu gani ya dunia (Sayansi) mtu anaweza kuamini Yesu ni Mungu?

Be carefull na maneno yako
Mimi nakuelewa sana na nimewasoma Alnuur kama ulivyowasoma wewe. Kinachonishinda kuelewa ni pale mnapowashambulia waislaam na Masheikh wao kwa sababu ya gazeti hili. Kwa mfano mtoa mada hii hakueleza mwanzo wa makala hii ila kachagua baadhi ya ujumbe kuonyesha ubaya wa Uislaam jambo ambalo naweza kabisa kuchambua hotuba za viongozi wa Kikristu, CDM au CUF na nikaziweka kama ni uchochezi. Na zaidi ya hapo gazeti hili halimilikiwi na taasisi yoyote ya kiislaam isipokuwa kundi la watu ambao naweza kusema ni wapambe wa CUF na kwa kutumia dini yao wanachukua jukumu la Kiroho kupingana na utawala dhalimu. Na hakika ukisoma maelezo yaliyotangulia hapo juu hayana tofauti kabisa na hilo gazeti la Alnuur kwa jinsi mnavyoushambulia Uislaam...Hivyo makosa mawili hayawezi kutupa jibu SAWA..Ah Mukandara, sidhani kama ni muhimu kwenda kwenye arguments za Ukristo vs Uislam au Makristo vs Waislam kwenye hii thread. Nahisi wewe ni muumini wa dini ya kiislam reasonable, na kama ni hivyo ni lazima utakuwa unakubaliana na mimi kwamba lile gazeti la an-nuur wanavuka mipaka ya uhuru wa maoni kikatiba. Kama huwezi kuliona hilo basi hakuna tumaini kabisa miongoni mwa jamii ya watanzania wenzetu waislam. Kila muislam yeyote sensible anapaswa kukataa ideologies za hawa watu wa an-nuur. Hawako realistic, hawako kiamani, hawako kiislam. Hawatetei maslahi ya waislamu bali wanataka kutumia jukwaa la dini ya kiislamu kujijengea cheap popularity kwa migongo ya waislamu wachache wanaopandikizwa hisia za kujihisi wanaonewa na serikali au wakristo. Jamani mbona hii serikali ni yenu nyie waislam? na mbona wakristo ni ndugu zenu, jirani zenu, wanapanga kwenye nyumba zenu, mnapanga kwenye nyumba zao, wananunua kwenye maduka yenu na mnanunu kwenye maduka yao? Hamuoni kwamba hawa an-nuur si watu wema kwa pande zote mbili?
Allah ni neno la kiarabu maana yake ni Mungu kwa kiswahili... Labda wewe msomi nambie tofauti ya God na Mungu ni ipi?

Tehe tehe tehe!!!!
Wewe umetumia sayansi gani kujua Allah ni Mungu?
Jamani kuna gazeti moja hapa nchini linalomilikiwa na kikundi fulani cha waislam linalotoka mara moja kwa wiki, An-Nuur, lenyewe linajiita Sauti ya Waislam, kila toleo lake ni kuandika makala za kichochezi chochezi tu. Limekaa kishari sana hili gazeti. Mfano toleo la wiki hii limeandika : (Waikela) ataka Waislam kuwa tayari kwa Jihad.
Halafu ndani kuna maneno yafuatayao : «Masheikh wazunguke watutafute tunaotaka kumfia Mwenyezi Mungu, tukishafika watu wachache inatosha, msipoteze muda na wale wasiotaka kukfia Allah (sw), waacheni wabaki na serikali yao. Sina hofu na kwamba Waislam wakiamua wanaweza na wanatisha bila kujali wingi. »
Na tena : « …watafutwe Waislamu hata kumi tu, kwa ajili ya mwenyezi Mungu kwa ajili ya kukomesha hali hii… »
My take: Hawa si watu wa kudharau a na haya si maneno ya kupuuza. Hivi ndivyo Al Shabab ya Somalia, Taliban ya Pakistan na Afghanstan na makundi mbalimbali ya kigaidi huko Nigeria na duniani kote yalivyoanza.

Wale waliompiga mkuu wa wilaya, si waliambia na padre wao wafanye hivyo tena kwa mwana mama wangekuwa wa maana wangeshughulika na wanaume shame on them
Mimi naamini kwamba Uislamu kama Dini si kitu kibaya; Lakini nadhani Korani iliandikwa na Mtume akisaidiwa na ambao walichomekea mistari ya kishetani.

Unaona sasa unavojiaibisha?Hivi we unafaidika nini na udini ndani ya siasa??Mbona unashabikia sana?Halafu unapayuka kama juha tu at least basi ungeleta facts!!Umemjibia mkandara swali lake kwa kiwango cha chini mno kudhihirisha libichwa lako lilivyo pumba filled!

unajiabisha zaidi endelea wewe unafikiri ki...masaburi

unajiabisha zaidi endelea wewe unafikiri ki...masaburi

Nalianzisha vagi -

Jamani ebu nifahamisheni kitu kimoja, nashindwa sana kuwaelewa Makristo.

Viongozi wa Chadema wanapokuwa majukwaani husema maneno kama haya na hata wanachama wa CDM husema maneno haya haya dhidi ya CCM na serikali, inakuwaje ni makosa kwenu wanaposema Waislaam?

Halafu kwa nini matusi yanawatoka sana kuwatukana waislaam kuwa wajinga hawana elimu dunia isipokuwa ya madrasa na kadhalika hivi nyie mmeelimika kitu gani? - Kuamini kwamba Yesu ni Mungu?

Haya sawa sisi wajinga, wapumbavu na kadhalika - Nyie mlosoma nambieni ni ktk kutumia elimu gani ya dunia (Sayansi) mtu anaweza kuamini Yesu ni Mungu?
Mimi nakuelewa sana na nimewasoma Alnuur kama ulivyowasoma wewe. Kinachonishinda kuelewa ni pale mnapowashambulia waislaam na Masheikh wao kwa sababu ya gazeti hili. Kwa mfano mtoa mada hii hakueleza mwanzo wa makala hii ila kachagua baadhi ya ujumbe kuonyesha ubaya wa Uislaam jambo ambalo naweza kabisa kuchambua hotuba za viongozi wa Kikristu, CDM au CUF na nikaziweka kama ni uchochezi. Na zaidi ya hapo gazeti hili halimilikiwi na taasisi yoyote ya kiislaam isipokuwa kundi la watu ambao naweza kusema ni wapambe wa CUF na kwa kutumia dini yao wanachukua jukumu la Kiroho kupingana na utawala dhalimu. Na hakika ukisoma maelezo yaliyotangulia hapo juu hayana tofauti kabisa na hilo gazeti la Alnuur kwa jinsi mnavyoushambulia Uislaam...Hivyo makosa mawili hayawezi kutupa jibu SAWA..
Ni muhimu kwenu nyie kuwasikiliza badala ya kuwapuuza kwa sababu yasemwayo yapo na yanaendelea kufanyika. Unaposhindwa kuamini kuwepo kwa matatizo haya ndiko kulikoizamisha hata meli ya Spice Island na wakafa watu wasiokuwa na hatia kabisa..Licha ya hivyo our enemy ni mmoja na sioni tofauti kabisa baina ya mtu anayekwambia mkeo anatembea na rafiki yako na yule anayekwambia twende tukamfanyie rafiki yako anayetembea na Mkeo. Ujumbe ni mmoja kukutaarifu nani mkosa wako sasa ni jukumu lako wewe kufanya maamuzi yenye busara.
Jambo moja nalopinga mimi siku zote ni hizi taasisi za kidini kuingilia maswala ya siasa lakini Alnuur sio taasisi wala gazeti la chombo chochote cha Waislaam hivyo kuwashambulia waislaam na uongozi wake wa kidini ni propaganda zenu Makristo dhidi ya Uislaam kama mlivyofundishwa kuukana Uislaam.
Hao Alnuur hawakuanza jana wapo miaka kibao na tunawasoma kama tunavyoyasoma magazeti mengine yakiutukana Uislaam na hata chama cha Chadema kiasi kwamba leo hii inaaminika CUF ni chama cha Waislaam. Zote hizi ni propaganda na mnapozidi kuonyesha chuki yenu dhidi ya Waislaam kwa sababu nyie ni Wakristu na wanaChadema ndivyo mnavyodhihirisha Ukristu wenu sambamba na Uchadema. Majibu yenu hapa JF yanaonyesha wazi tatizo lipo na tusilidharau kwa sababu kuwaita waislaam wajinga wapumbavu na kutumia mifano ya maisha ya watu ktk nchi za kiislaam inaonyesha dhahiri jinsi mlivyokuwa na chuki kubwa kwa Uislaam na wala sii hili gazeti la Alnuur. Hii ni sababu tu ya kufungua hasira zenu dhidi ya Uislaam.
Hata hivyo wanayoyafanya waislaam huko Misri, Yemen, Libya, Syria, Afghanstan na kadhalika nyie hamna ubavu wa kufanya hivyo kwa sababu ktk Uislaam dini sio jina la mtu au uzaliwa wake bali ni matendo. Kama wewe unawadhalilisha wananchi wako inakuondoa ktk Uislaam na wananchi wana haki ya kukuondoa madarakani hata kama wewe umezaliwa Muislaam.
Hata ukijipendekeza na kuwaelewasha vipi hao ni makondoo hawatakuelewa wala hawatakupenda period..kuna mtu anayejipendekeza kwa makristo kama JK lakini ameishia kutukanwa..
Lugha moja tu wanaelewa ...jino kwa jino wanaogopa vita kama wanawake
Another deluded Muhammedan..hivi wewe umeshashiriki vita ngapi?