Mauaji ya Polisi: Gazeti la Jamhuri Laibua Chanzo Cha Ajabu!, "Makubwa!" Lapongezwa na "Jicho Letu"

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
52,681
119,318
Wanabodi,

Kuhusiana na mauaji ya wale polisi 8 waliouwawa, Gazeti la Jamhuri Limeibua Siri ya Chanzo Cha Ajabu Sana kuhusiana na Mauaji hayo, kulikopelekea gazeti hilo kupongezwa!.

Siri ya mauaji
Matukio ya ujambazi wa kutumia silaha, mauaji ya polisi na viongozi wa vijiji katika wilaya za Mkuranga, Kibit na Rufiji mkoani Pwani, yanahusishwa na vikundi vya vijana wanaopata mafunzo kutoka kwenye kundi la al-Shabaab nchini Somalia, JAMHURI limefahamishwa.

Kwa miaka minne hadi mitano iliyopita, vijana kadhaa kutoka maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Rufiji, hasa Ikwiriri, wamekuwa wakisajiliwa na kundi hilo la kigaidi, huku wazazi wao wakiambulia ujira wa dola 3,000 za Marekani (zaidi ya Sh milioni 6).
Akizungumza na JAMHURI, mmoja wa wakazi wa Ikwiriri ambaye hakupenda kutajwa jina lake gazetini kwa sababu za kiusalama, amesema kumekuwa na wimbi la vijana wenye umri wa miaka 16-25 kupelekwa kwenye mafunzo huko Somalia.

“Hapa Ikwiriri katika kipindi cha miaka kama mitano iliyopita kumekuwa na wimbi la vijana wadogo kupelekwa Somalia. Inasemekana wanakwenda kujiunga na kikundi cha al-Shabaab, lakini vijana hao wamekuwa wanapatikana kupitia kwa mawakala kadhaa kwenye misikiti.

“Si kweli kwamba polisi hapa Ikwiriri hawajui, maana hata ukifuatilia wale viongozi wa vijiji ambao wamekuwa wakitoa taarifa za vijana hao wamekuwa wakiuawa kwa staili inayofanana… sasa hapo unaweza kuona namna zoezi linavyokuwa gumu,” amesema.

Chanzo chetu kingine kimemtaja mtu ambaye jina lake tunalifupisha kwa kifupi kama S.B., kuwa ndiye hufanya kazi ya udalali wa kuwapeleka vijana hao nchini Somalia, huku wazazi wa watoto hao wakiambiwa kuna kazi wanakwenda kuifanya huko.

Chanzo hicho kimesema hata baada ya baadhi ya wenyeviti wa vijiji kupeleka taarifa za uhusika wa S.B. kilichofuata ni mauaji.

“S.B. alipotea hapa Ikwiriri kwa takribani miaka mitatu, hata baada ya kurejea amekuwa na mali nyingi. Mali ambazo si za kurithi na haziendani na utafutaji wa halali katika kipindi hicho kifupi. Yamekuwa yanasemwa mengi, lakini ukimgusa andaa sanda kabisa,” kimesema chanzo chetu.

Chanzo chetu kimeliambia JAMHURI kuwa vijana zaidi ya 27 kutoka maeneo mbalimbali wilayani Rufiji, wamechukuliwa kwenda kujiunga na al-Shabaab, chini ya udalali wa Bwana S.B.

Chanzo hicho kimesema mmoja na vijana ambaye alichukuliwa alishindwa aina ya kazi na akarudi.

Habari ambazo JAMHURI, limezipata zinaonesha kwamba kikundi hicho cha wauaji kimekuwa kikimtumia mtoto mdogo mwenye umri chini ya miaka 18, kuwapelekea chakula huko msituni eneo la Mparange wilayani Rufiji. Jina la mtoto huyo tunahifadhiwa kwa sababu za kitaaluma.

“Kijana huyo mdogo amekuwa akitumiwa na hao wauaji kuwapelekea chakula. Mtoto huyo amekuwa akiwahudumia pasipokuwa na simu. Akikamatwa huyo anaweza kusaidia sana upelelezi wa polisi… hapa kila mtu amejaa hofu kuhusu usalama,” kimesema chanzo chetu.

Ushauri
Baadhi ya wataalamu wa masuala ya usalama waliozungumza na JAMHURI wametoa ushauri kwa Serikali wa namna ya kukabiliana na wimbi la mauaji ya viongozi na polisi yanayoendelea Mkuranga, Kibiti na Rufuji mkoani Pwani.

Serikali inashauri wa kuwahusisha viongozi wa dini na wataalam wa saikolojia katika kutatua vitendo hivyo.

Akizungumza na JAMHURI, mchambuzi wa masuala ya usalama mwenye makazi yake Johannesburg, Afrika Kusini, ambaye kwa maudhui ya kiusalama tunamtambulisha kwa jina moja la Alexandre, anasema sehemu kubwa ya Afrika Mashariki inakabiliwa na matatizo ya usalama, hivyo njia pekee ya kukabiliana na tatizo hilo ni kuzihusisha pande zote.

Alexandre, anasema kumekuwapo tatizo linalohusishwa na vitendo vya ujambazi (ugaidi) katika Pwani ya Bahari ya Hindi, ukanda wa Mombasa, Tanga, Zanzibar, Mtwara, Lindi na Dar es Salaam.

“Ninashauri kwamba mamlaka; hasa vyombo vya usalama visifikirie kuhusu ‘confrontation’ na vikundi hivyo…Polisi wanapowaua, hao ‘majambazi’ nao wanahakikisha wanalipa kisasi. Katika mambo kama hayo ni busara wanasaikolojia pamoja na viongozi wa dini wakaingilia kati.

“Wanasaikolojia wanatakiwa kufanya utafiti, kwanini matukio kama hayo yamekuwa yanajirudia katika eneo hilo hilo katika siku za hivi karibuni? Hapo inawezakana kukawa na jambo kubwa zaidi…” amesema.

Hali ilivyo Mkuranga, Kibiti na Rufiji

Hali ya usalama katika maeneo ya Mkuranga, Kibiti na Rufiji imezidi kuwa ya wasiwasi, huku vyombo vya usalama vikiweka zuio katika maeneo hayo.

Baadhi ya mazuio hayo ni marufuku ya kuendesha pikipiki kuanzia saa 12:00 jioni, wananchi hasa maeneo ya Ikwiriri wilayani Rufiji wamekuwa wakitakiwa kulala mapema.

Akizungumza na JAMHURI, Mbunge wa Jimbo la Kibiti, Ally Ungando, anasema hali si nzuri kutokana na ukweli kwamba wananchi hata yeye mwenyewe wako katika sintofahamu ya kiusalama.

JAMHURI: Mheshimiwa Pole kwa yanayotokea jimboni kwako

UNGANDO: Asante sana kaka, nimeshapoa!

JAMHURI: Unaweza kuzungumzia kuhusu hali ya usalama jimboni kwako?

UNGANDO: Yaani katika hili, naomba nisiwe mzungumzaji maana mwenyewe niko katika ‘danger zone’ viongozi wangu wa vijiji wanauawa, huoni kwamba anayefuata hapo ni mimi? Nisingependa kulizungumzia hata kidogo, unanitafutia balaa, sitaki kuongea kwenye vyombo vya habari, maana nikiongea utaandika kwenye magazeti, na hao wenzetu (wauaji) wanasoma. Hapa mimi nasubiri hatma yangu kaka!

JAMHURI: Umeshapata ujumbe wowote kutoka kwa wauaji?

UNGANDO: Hata kama nimepata ujumbe siwezi kusema maana hali ya usalama imekuwa tishio kwangu na wananchi wenzangu. Jitihada za pamoja zinahitajika katika kutatua tatizo hili, si kazi ya mbunge pekee.

Wakati Mbunge wa Kibiti, akizungumza na JAMHURI, Mbunge wa Mkuranga, Abdallah Ulega, yeye amesema hawezi kuzungumzia jambo hilo, badala yake anasubiri uchunguzi wa vyombo vya dola ukamilike.

Tukio la Kibiti
Tukio la wiki iliyopita, limechukua uhai wa polisi wanane. Nao ni Inspekta Peter Kigugu, F.3451 Koplo Francis, F.6990 PC Haruna, G.3247 PC Jackson, H.5503 PC Siwale, H.1872 PC Zacharia, H.7629 PC Maswi na H.7680 PC Ayoub.

Mauaji hayo ni mwendelezo wa matukio mengine saba ya aina hiyo yaliyotokea katika kipindi kisichozidi mwaka mmoja mkoani Pwani.

Tukio la kuuawa kwa askari wanane limetokea ikiwa ni siku chache baada ya askari wa Jeshi la Polisi kuwaua kwa risasi wanaume watatu waliokuwa wamevalia baibui.

Wanaume hao ambao walikuwa na pikipiki mbili, walikuwa wakijaribu kukwepa vizuizi vya polisi vilivyokuwa vimewekwa katika Daraja la Mkapa.

Februari mwaka huu, watu watatu akiwamo Ofisa Upelelezi wa Wilaya (OC CID) ya Kibiti mkoani Pwani, Mrakibu wa Polisi, Peter Kubezya, waliuawa kwa ris
Screen-Shot-2017-04-19-at-7.12.21-AM.png

Wengine waliouawa ni Ofisa wa Misitu ambaye alikuwa Mkaguzi wa Kituo cha Ukusanyaji Mapato ya Ushuru katika Kijiji cha Jaribu, Peter Kitundu na Rashid Mgamba ambaye ni mlinzi/mgambo ambao walipigwa risasi na walikufa papo hapo eneo la tukio.

Mei, mwaka jana Mwenyekiti wa Kijiji cha Nyambunda, Said Mbwana, aliuawa kwa risasi.

Oktoba, mwaka jana Ofisa Mtendaji wa kijiji hicho hicho, Ally Milandu, aliuawa kwa kupigwa risasi na watu wanne. Novemba, mwaka huo huo wenyeviti wawili wa vitongoji wa kijiji hicho waliuawa kwa kupigwa risasi.

Januari, mwaka huu watu ambao Jeshi la Polisi hadi sasa halijawafahamu walimuua mfanyabiashara Oswald Mrope kwa kumpiga risasi mbele ya familia yake.

Februari 3, mwaka huu watu wasiojulikana walivamia nyumba ya Mwenyekiti wa Kijiji cha Jaribu, Bakari Msanga na kuichoma moto huku yeye mwenyewe akifanikiwa kutoroka.

Matukio ya aina hii yanayotia shaka ustawi wa amani ya Tanzania, kwa mwaka 2013 yalitokea wilayani Kilindi mkoani Tanga ambako msikiti wa Madina ulibainika katikati ya pori kati ya Tanga na Bagamoyo.

Kama hiyo haitoshi, mwaka 2014 vijana waliokuwa wakipewa mafunzo ya kigaidi walikamatwa mkoani Mtwara wakiwa wanapewa mafunzo tayari kujiunga na al-Shabab.

Kenya kwa muda mrefu sasa imekuwa katika mapambano yasiyokwisha na kundi la al-Shabaab wanaoaminika kuwa wanatetea imani na Waislam nchini Somalia.

Ni kwa mantiki the0, matukio ya mauaji kwa mikoa ya Pwani, Mtwara na Lindi wachambuzi wa masuala ya kiusalama wameishauri ĺ kutumia zaidi diplomasia kuliko nguvu.

Copyright ©2017. Gazeti la Jamhuri

Gazeti hilo la Jamhuri limepongezwa kwa Investigative Story zinazo zama ndani ya tatizo na kuibua chanzo tofauti kabisa na kinachoripotiwa!, hivyo kushibisha kiu sii tuu ya wasomaji bali hata vyombo vya ulinzi kwa kuzama kwa undani zaidi kuhusu chanzo cha vifo vya polisi 8 wilayani Rufiji Mkoani Pwani, kwa kuchimbua chanzo halisi kilichopelekea vifo hivyo, wakati vyombo vingine vyote vya habari vimeishia katika kuripoti tukio tuu la nini kilichotokea bila kujishughulisha kubaini chanzo. Taarifa kama hiyo ya Jamhuri imeelezwa kuwa ni news tip nzuri kwa media nyingine na vyombo vya ulinzi na usalama kufuatilia zaidi.

Pongezi hizo zimetolewa na Mwanahabari Nguli na Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha SAUT, Mwanza, Dotto Emmanuel Bolondo ambaye ni muongozaji wa Kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari kinachorushwa na Kituo cha TV cha Star TV kila siku za Jumamosi asubuhi.

Kipindi cha leo kilijadili kuhusu vyombo vya habari vilivyoripoti kuhusu vitendo vya mauaji, utekaji na utesaji na kutolea mfano tukio la kutoweka kwa Ben Saanane na mauaji ya Polisi.

Vyombo vingi vimeishia kuripoti tuu kuhusu tukio lenyewe kwa mujibu wa taarifa rasmi za jeshi la polisi, lakini Gazeti la Jamhuri halikuishia kuripoti tuu tukio bali lilizama ndani kwa kujichimbia eneo la tukio na kutafuta chanzo na mlolongo wote, hivyo hayo mauaji ya polisi 8 ni climax tuu ya kukamilisha visa, mikado na visasi vya sababu zilizopelekea mauaji hayo.

Gazeti hilo limeibua mambo makubwa mazito kuhusiana na matukio hayo ambayo taarifa ya polisi imeeleza ni ujambazi lakini Jamhuri limeeleza kitu kingine kabisa kwa kuweka ushahidi wa mlolongo wa mauaji tangulizi ambayo hakuna kitu chochote kilichoporwa au kuibiwa.

Pia kipindi hicho kimetoa pongezi kwa kituo kimoja cha TV ambacho kiliandaa makala maalum kuhusu tukio hilo japo hakikujishughulisha kubaini chanzo.

Mwendeshaji kipindi, Dotto Bulendu ameshauri kunapotokea sintofahamu kama hizi, media zina jukumu la ziada sio tuu kuripoti kuhusu tukio bali kubaini chanzo hivyo kuripoti habari ambazo zitaisaidia jamii.

Bulendu amesema ripoti hiyo ya gazeti la Jamhuri imeirahisisha sana kazi ya uchunguzi hivyo inapaswa kutumika kama tip ya ground work ili kufanya developing story kwa media nyingine na followup kwa vyombo vya ulinzi na usalama.

Big Up kwa Gazeti la Jamhuri, Big Up kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari na Big Up kwa Mwendeshaji Kipindi, Dotto Bulendu.

Changamoto kwa media, kunapotokea majanga ya kitaifa au sintofahamu fulani, media zinawajibu sio tuu kuripoti tukio bali kuzama ndani kubaini chanzo, ili kuisaidia jamii kufanya preventive measures kuzuia tukio jingine kama hilo kwa ku deal na chanzo.

Jee kwa nyinyi wasomaji wa JF, media zetu zimekidhi haja katika kuripoti kuhusu tukio lile?.

My Take:
Kama mwandishi tuu wa habari za uchunguzi ameweza kuibui siri hii, vyombo vya ulinzi na usalama viko wapi na vinafanya nini hadi kushindwa kuyaibua haya?!.
Kwa maoni yangu

1. Ama vyombo hivi vya usalama vinayajua haya lakini vimekuwa compromised, hivyo vimenyamazia.

2.Ama vyombo vyetu vya ulinzi na usalama ni too incompetent kiasi kwamba vinazidiwa kete na waandishi mahiri.

3. Gazeti la Jamhuri ni wazushi tuu wametunga huu uongo na uzushi ili tuu kuuza gazeti huku nyuma wakituachia taharuki.

Jumamosi Njema
Paskali

Kama kumepatikana taarifa za ndani namna hii,na ishu yenyewe ni ya mauaji tena ya Polisi,hilo si suala la kulichukulia "poa".
Ni kuwafuata Jamhuri,na kupata taarifa.
Jamhuri ni gazeti la uchunguzi,hata Rais alipata kulisifia kwa kuwa lilitoa taarifa, na vyombo vya dola vilipofuatilia,yale ya gazeti hilo yakawa sahihi.
Gazeti hilo limewahi kufichua ukwepaji kodi wa viwanda vya vileo,wakitoa na risiti kwa uthibitisho,waliwahi pia kuchunguza ukwepaji kodi wa sigara huko Tunduma, waliwahi kuibua skendo nyingine, kampuni Husika ikadai ilipwe Bil. 1,na kuombwa msamaha, vinginevyo shauri watalipeleka mahakamani,gazeti likasema kwa kuwa Lina ushahidi wa suala husika, halimwombi radhi mtu,wala taasisi yoyote, na wakitaka watangulie mahakamani.
Ile taasisi iliishia kuufyata!!!

Hivyo tusizipuuzie taarifa za Jamhuri.
Thanks
P.
 
Siri ya mauaji | Gazeti la Jamhuri | April 19, 2017

Matukio ya ujambazi wa kutumia silaha, mauaji ya polisi na viongozi wa vijiji katika wilaya za Mkuranga, Kibiti na Rufiji mkoani Pwani, yanahusishwa na vikundi vya vijana wanaopata mafunzo kutoka kwenye kundi la al-Shabaab nchini Somalia, JAMHURI limefahamishwa.

Kwa miaka minne hadi mitano iliyopita, vijana kadhaa kutoka maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Rufiji, hasa Ikwiriri, wamekuwa wakisajiliwa na kundi hilo la kigaidi, huku wazazi wao wakiambulia ujira wa dola 3,000 za Marekani (zaidi ya Sh milioni 6).

Akizungumza na JAMHURI, mmoja wa wakazi wa Ikwiriri ambaye hakupenda kutajwa jina lake gazetini kwa sababu za kiusalama, amesema kumekuwa na wimbi la vijana wenye umri wa miaka 16-25 kupelekwa kwenye mafunzo huko Somalia.

“Hapa Ikwiriri katika kipindi cha miaka kama mitano iliyopita kumekuwa na wimbi la vijana wadogo kupelekwa Somalia. Inasemekana wanakwenda kujiunga na kikundi cha al-Shabaab, lakini vijana hao wamekuwa wanapatikana kupitia kwa mawakala kadhaa kwenye misikiti.

“Si kweli kwamba polisi hapa Ikwiriri hawajui, maana hata ukifuatilia wale viongozi wa vijiji ambao wamekuwa wakitoa taarifa za vijana hao wamekuwa wakiuawa kwa staili inayofanana… sasa hapo unaweza kuona namna zoezi linavyokuwa gumu,” amesema.

Chanzo chetu kingine kimemtaja mtu ambaye jina lake tunalifupisha kwa kifupi kama S.B., kuwa ndiye hufanya kazi ya udalali wa kuwapeleka vijana hao nchini Somalia, huku wazazi wa watoto hao wakiambiwa kuna kazi wanakwenda kuifanya huko.

Chanzo hicho kimesema hata baada ya baadhi ya wenyeviti wa vijiji kupeleka taarifa za uhusika wa S.B. kilichofuata ni mauaji.

“S.B. alipotea hapa Ikwiriri kwa takribani miaka mitatu, hata baada ya kurejea amekuwa na mali nyingi. Mali ambazo si za kurithi na haziendani na utafutaji wa halali katika kipindi hicho kifupi. Yamekuwa yanasemwa mengi, lakini ukimgusa andaa sanda kabisa,” kimesema chanzo chetu.

Chanzo chetu kimeliambia JAMHURI kuwa vijana zaidi ya 27 kutoka maeneo mbalimbali wilayani Rufiji, wamechukuliwa kwenda kujiunga na al-Shabaab, chini ya udalali wa Bwana S.B.

Chanzo hicho kimesema mmoja na vijana ambaye alichukuliwa alishindwa aina ya kazi na akarudi.

Habari ambazo JAMHURI, limezipata zinaonesha kwamba kikundi hicho cha wauaji kimekuwa kikimtumia mtoto mdogo mwenye umri chini ya miaka 18, kuwapelekea chakula huko msituni eneo la Mparange wilayani Rufiji. Jina la mtoto huyo tunahifadhiwa kwa sababu za kitaaluma.

“Kijana huyo mdogo amekuwa akitumiwa na hao wauaji kuwapelekea chakula. Mtoto huyo amekuwa akiwahudumia pasipokuwa na simu. Akikamatwa huyo anaweza kusaidia sana upelelezi wa polisi… hapa kila mtu amejaa hofu kuhusu usalama,” kimesema chanzo chetu.

Ushauri

Baadhi ya wataalamu wa masuala ya usalama waliozungumza na JAMHURI wametoa ushauri kwa Serikali wa namna ya kukabiliana na wimbi la mauaji ya viongozi na polisi yanayoendelea Mkuranga, Kibiti na Rufuji mkoani Pwani.

Serikali inashauri wa kuwahusisha viongozi wa dini na wataalam wa saikolojia katika kutatua vitendo hivyo.

Akizungumza na JAMHURI, mchambuzi wa masuala ya usalama mwenye makazi yake Johannesburg, Afrika Kusini, ambaye kwa maudhui ya kiusalama tunamtambulisha kwa jina moja la Alexandre, anasema sehemu kubwa ya Afrika Mashariki inakabiliwa na matatizo ya usalama, hivyo njia pekee ya kukabiliana na tatizo hilo ni kuzihusisha pande zote.

Alexandre, anasema kumekuwapo tatizo linalohusishwa na vitendo vya ujambazi (ugaidi) katika Pwani ya Bahari ya Hindi, ukanda wa Mombasa, Tanga, Zanzibar, Mtwara, Lindi na Dar es Salaam.

“Ninashauri kwamba mamlaka; hasa vyombo vya usalama visifikirie kuhusu ‘confrontation’ na vikundi hivyo…Polisi wanapowaua, hao ‘majambazi’ nao wanahakikisha wanalipa kisasi. Katika mambo kama hayo ni busara wanasaikolojia pamoja na viongozi wa dini wakaingilia kati.

“Wanasaikolojia wanatakiwa kufanya utafiti, kwanini matukio kama hayo yamekuwa yanajirudia katika eneo hilo hilo katika siku za hivi karibuni? Hapo inawezakana kukawa na jambo kubwa zaidi…” amesema.

Hali ilivyo Mkuranga, Kibiti na Rufiji

Hali ya usalama katika maeneo ya Mkuranga, Kibiti na Rufiji imezidi kuwa ya wasiwasi, huku vyombo vya usalama vikiweka zuio katika maeneo hayo.

Baadhi ya mazuio hayo ni marufuku ya kuendesha pikipiki kuanzia saa 12:00 jioni, wananchi hasa maeneo ya Ikwiriri wilayani Rufiji wamekuwa wakitakiwa kulala mapema.

Akizungumza na JAMHURI, Mbunge wa Jimbo la Kibiti, Ally Ungando, anasema hali si nzuri kutokana na ukweli kwamba wananchi hata yeye mwenyewe wako katika sintofahamu ya kiusalama.

JAMHURI: Mheshimiwa Pole kwa yanayotokea jimboni kwako

UNGANDO: Asante sana kaka, nimeshapoa!

JAMHURI: Unaweza kuzungumzia kuhusu hali ya usalama jimboni kwako?

UNGANDO: Yaani katika hili, naomba nisiwe mzungumzaji maana mwenyewe niko katika ‘danger zone’ viongozi wangu wa vijiji wanauawa, huoni kwamba anayefuata hapo ni mimi? Nisingependa kulizungumzia hata kidogo, unanitafutia balaa, sitaki kuongea kwenye vyombo vya habari, maana nikiongea utaandika kwenye magazeti, na hao wenzetu (wauaji) wanasoma. Hapa mimi nasubiri hatma yangu kaka!

JAMHURI: Umeshapata ujumbe wowote kutoka kwa wauaji?

UNGANDO: Hata kama nimepata ujumbe siwezi kusema maana hali ya usalama imekuwa tishio kwangu na wananchi wenzangu. Jitihada za pamoja zinahitajika katika kutatua tatizo hili, si kazi ya mbunge pekee.

Wakati Mbunge wa Kibiti, akizungumza na JAMHURI, Mbunge wa Mkuranga, Abdallah Ulega, yeye amesema hawezi kuzungumzia jambo hilo, badala yake anasubiri uchunguzi wa vyombo vya dola ukamilike.

Tukio la Kibiti

Tukio la wiki iliyopita, limechukua uhai wa polisi wanane. Nao ni Inspekta Peter Kigugu, F.3451 Koplo Francis, F.6990 PC Haruna, G.3247 PC Jackson, H.5503 PC Siwale, H.1872 PC Zacharia, H.7629 PC Maswi na H.7680 PC Ayoub.

Mauaji hayo ni mwendelezo wa matukio mengine saba ya aina hiyo yaliyotokea katika kipindi kisichozidi mwaka mmoja mkoani Pwani.

Tukio la kuuawa kwa askari wanane limetokea ikiwa ni siku chache baada ya askari wa Jeshi la Polisi kuwaua kwa risasi wanaume watatu waliokuwa wamevalia baibui.

Wanaume hao ambao walikuwa na pikipiki mbili, walikuwa wakijaribu kukwepa vizuizi vya polisi vilivyokuwa vimewekwa katika Daraja la Mkapa.

Februari mwaka huu, watu watatu akiwamo Ofisa Upelelezi wa Wilaya (OC CID) ya Kibiti mkoani Pwani, Mrakibu wa Polisi, Peter Kubezya, waliuawa kwa risasi.
 
Mkuu Paskali ungetuwekea na ripoti yenyewe tuisome chief, wengine huku tulipo sio rahisi sana kulipata hilo gazeti........binafsi ningependa sana kujua chanzo, maana ukisema ni ujambazi haiingii akilini.
Done! .
P.
 
Ukisema Chanzo Cha Ajabu mimi nawaza hivi.

Aliyewashambulia askari hua anakopesha pesa kwa riba na wale askari walikopa na hawakulipa madeni yao ndipo akaamua kuchukua hatua ile.

Au weka tu hiyo ripoti hapa.
Done! .
P.
 
Kubenea na Mwanahalisi wanajiita waandishi wa habari za kiuchunguzi. Mbona hatuwaoni katika hili? Mwanahalisi ni kwa ajili ya jamii au ni kwa ajili ya wanasiasa fulani?
 
Nashangaa
Home » Habari za Kitaifa » You are reading »
Siri ya mauaji
Jamhuri April 19, 2017 Siri ya mauaji2017-04-19T04:14:31+00:00Habari za Kitaifa
M

atukio ya ujambazi wa kutumia silaha, mauaji ya polisi na viongozi wa vijiji katika wilaya za Mkuranga, Kibiti na Rufiji mkoani Pwani, yanahusishwa na vikundi vya vijana wanaopata mafunzo kutoka kwenye kundi la al-Shabaab nchini Somalia, JAMHURI limefahamishwa.

Kwa miaka minne hadi mitano iliyopita, vijana kadhaa kutoka maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Rufiji, hasa Ikwiriri, wamekuwa wakisajiliwa na kundi hilo la kigaidi, huku wazazi wao wakiambulia ujira wa dola 3,000 za Marekani (zaidi ya Sh milioni 6).

Akizungumza na JAMHURI, mmoja wa wakazi wa Ikwiriri ambaye hakupenda kutajwa jina lake gazetini kwa sababu za kiusalama, amesema kumekuwa na wimbi la vijana wenye umri wa miaka 16-25 kupelekwa kwenye mafunzo huko Somalia.

“Hapa Ikwiriri katika kipindi cha miaka kama mitano iliyopita kumekuwa na wimbi la vijana wadogo kupelekwa Somalia. Inasemekana wanakwenda kujiunga na kikundi cha al-Shabaab, lakini vijana hao wamekuwa wanapatikana kupitia kwa mawakala kadhaa kwenye misikiti.

“Si kweli kwamba polisi hapa Ikwiriri hawajui, maana hata ukifuatilia wale viongozi wa vijiji ambao wamekuwa wakitoa taarifa za vijana hao wamekuwa wakiuawa kwa staili inayofanana… sasa hapo unaweza kuona namna zoezi linavyokuwa gumu,” amesema.

Chanzo chetu kingine kimemtaja mtu ambaye jina lake tunalifupisha kwa kifupi kama S.B., kuwa ndiye hufanya kazi ya udalali wa kuwapeleka vijana hao nchini Somalia, huku wazazi wa watoto hao wakiambiwa kuna kazi wanakwenda kuifanya huko.

Chanzo hicho kimesema hata baada ya baadhi ya wenyeviti wa vijiji kupeleka taarifa za uhusika wa S.B. kilichofuata ni mauaji.

“S.B. alipotea hapa Ikwiriri kwa takribani miaka mitatu, hata baada ya kurejea amekuwa na mali nyingi. Mali ambazo si za kurithi na haziendani na utafutaji wa halali katika kipindi hicho kifupi. Yamekuwa yanasemwa mengi, lakini ukimgusa andaa sanda kabisa,” kimesema chanzo chetu.

Chanzo chetu kimeliambia JAMHURI kuwa vijana zaidi ya 27 kutoka maeneo mbalimbali wilayani Rufiji, wamechukuliwa kwenda kujiunga na al-Shabaab, chini ya udalali wa Bwana S.B.

Chanzo hicho kimesema mmoja na vijana ambaye alichukuliwa alishindwa aina ya kazi na akarudi.

Habari ambazo JAMHURI, limezipata zinaonesha kwamba kikundi hicho cha wauaji kimekuwa kikimtumia mtoto mdogo mwenye umri chini ya miaka 18, kuwapelekea chakula huko msituni eneo la Mparange wilayani Rufiji. Jina la mtoto huyo tunahifadhiwa kwa sababu za kitaaluma.

“Kijana huyo mdogo amekuwa akitumiwa na hao wauaji kuwapelekea chakula. Mtoto huyo amekuwa akiwahudumia pasipokuwa na simu. Akikamatwa huyo anaweza kusaidia sana upelelezi wa polisi… hapa kila mtu amejaa hofu kuhusu usalama,” kimesema chanzo chetu.

Ushauri

Baadhi ya wataalamu wa masuala ya usalama waliozungumza na JAMHURI wametoa ushauri kwa Serikali wa namna ya kukabiliana na wimbi la mauaji ya viongozi na polisi yanayoendelea Mkuranga, Kibiti na Rufuji mkoani Pwani.

Serikali inashauri wa kuwahusisha viongozi wa dini na wataalam wa saikolojia katika kutatua vitendo hivyo.

Akizungumza na JAMHURI, mchambuzi wa masuala ya usalama mwenye makazi yake Johannesburg, Afrika Kusini, ambaye kwa maudhui ya kiusalama tunamtambulisha kwa jina moja la Alexandre, anasema sehemu kubwa ya Afrika Mashariki inakabiliwa na matatizo ya usalama, hivyo njia pekee ya kukabiliana na tatizo hilo ni kuzihusisha pande zote.

Alexandre, anasema kumekuwapo tatizo linalohusishwa na vitendo vya ujambazi (ugaidi) katika Pwani ya Bahari ya Hindi, ukanda wa Mombasa, Tanga, Zanzibar, Mtwara, Lindi na Dar es Salaam.

“Ninashauri kwamba mamlaka; hasa vyombo vya usalama visifikirie kuhusu ‘confrontation’ na vikundi hivyo…Polisi wanapowaua, hao ‘majambazi’ nao wanahakikisha wanalipa kisasi. Katika mambo kama hayo ni busara wanasaikolojia pamoja na viongozi wa dini wakaingilia kati.

“Wanasaikolojia wanatakiwa kufanya utafiti, kwanini matukio kama hayo yamekuwa yanajirudia katika eneo hilo hilo katika siku za hivi karibuni? Hapo inawezakana kukawa na jambo kubwa zaidi…” amesema.

Hali ilivyo Mkuranga, Kibiti na Rufiji

Hali ya usalama katika maeneo ya Mkuranga, Kibiti na Rufiji imezidi kuwa ya wasiwasi, huku vyombo vya usalama vikiweka zuio katika maeneo hayo.

Baadhi ya mazuio hayo ni marufuku ya kuendesha pikipiki kuanzia saa 12:00 jioni, wananchi hasa maeneo ya Ikwiriri wilayani Rufiji wamekuwa wakitakiwa kulala mapema.

Akizungumza na JAMHURI, Mbunge wa Jimbo la Kibiti, Ally Ungando, anasema hali si nzuri kutokana na ukweli kwamba wananchi hata yeye mwenyewe wako katika sintofahamu ya kiusalama.

JAMHURI: Mheshimiwa Pole kwa yanayotokea jimboni kwako

UNGANDO: Asante sana kaka, nimeshapoa!

JAMHURI: Unaweza kuzungumzia kuhusu hali ya usalama jimboni kwako?

UNGANDO: Yaani katika hili, naomba nisiwe mzungumzaji maana mwenyewe niko katika ‘danger zone’ viongozi wangu wa vijiji wanauawa, huoni kwamba anayefuata hapo ni mimi? Nisingependa kulizungumzia hata kidogo, unanitafutia balaa, sitaki kuongea kwenye vyombo vya habari, maana nikiongea utaandika kwenye magazeti, na hao wenzetu (wauaji) wanasoma. Hapa mimi nasubiri hatma yangu kaka!

JAMHURI: Umeshapata ujumbe wowote kutoka kwa wauaji?

UNGANDO: Hata kama nimepata ujumbe siwezi kusema maana hali ya usalama imekuwa tishio kwangu na wananchi wenzangu. Jitihada za pamoja zinahitajika katika kutatua tatizo hili, si kazi ya mbunge pekee.

Wakati Mbunge wa Kibiti, akizungumza na JAMHURI, Mbunge wa Mkuranga, Abdallah Ulega, yeye amesema hawezi kuzungumzia jambo hilo, badala yake anasubiri uchunguzi wa vyombo vya dola ukamilike.

Tukio la Kibiti

Tukio la wiki iliyopita, limechukua uhai wa polisi wanane. Nao ni Inspekta Peter Kigugu, F.3451 Koplo Francis, F.6990 PC Haruna, G.3247 PC Jackson, H.5503 PC Siwale, H.1872 PC Zacharia, H.7629 PC Maswi na H.7680 PC Ayoub.

Mauaji hayo ni mwendelezo wa matukio mengine saba ya aina hiyo yaliyotokea katika kipindi kisichozidi mwaka mmoja mkoani Pwani.

Tukio la kuuawa kwa askari wanane limetokea ikiwa ni siku chache baada ya askari wa Jeshi la Polisi kuwaua kwa risasi wanaume watatu waliokuwa wamevalia baibui.

Wanaume hao ambao walikuwa na pikipiki mbili, walikuwa wakijaribu kukwepa vizuizi vya polisi vilivyokuwa vimewekwa katika Daraja la Mkapa.

Februari mwaka huu, watu watatu akiwamo Ofisa Upelelezi wa Wilaya (OC CID) ya Kibiti mkoani Pwani, Mrakibu wa Polisi, Peter Kubezya, waliuawa kwa risasi.

Wengine waliouawa ni Ofisa wa Misitu ambaye alikuwa Mkaguzi wa Kituo cha Ukusanyaji Mapato ya Ushuru katika Kijiji cha Jaribu, Peter Kitundu na Rashid Mgamba ambaye ni mlinzi/mgambo ambao walipigwa risasi na walikufa papo hapo eneo la tukio.

Mei, mwaka jana Mwenyekiti wa Kijiji cha Nyambunda, Said Mbwana, aliuawa kwa risasi.

Oktoba, mwaka jana Ofisa Mtendaji wa kijiji hicho hicho, Ally Milandu, aliuawa kwa kupigwa risasi na watu wanne. Novemba, mwaka huo huo wenyeviti wawili wa vitongoji wa kijiji hicho waliuawa kwa kupigwa risasi.

Januari, mwaka huu watu ambao Jeshi la Polisi hadi sasa halijawafahamu walimuua mfanyabiashara Oswald Mrope kwa kumpiga risasi mbele ya familia yake.

Februari 3, mwaka huu watu wasiojulikana walivamia nyumba ya Mwenyekiti wa Kijiji cha Jaribu, Bakari Msanga na kuichoma moto huku yeye mwenyewe akifanikiwa kutoroka.

Matukio ya aina hii yanayotia shaka ustawi wa amani ya Tanzania, kwa mwaka 2013 yalitokea wilayani Kilindi mkoani Tanga ambako msikiti wa Madina ulibainika katikati ya pori kati ya Tanga na Bagamoyo.

Kama hiyo haitoshi, mwaka 2014 vijana waliokuwa wakipewa mafunzo ya kigaidi walikamatwa mkoani Mtwara wakiwa wanapewa mafunzo tayari kujiunga na al-Shabab.

Kenya kwa muda mrefu sasa imekuwa katika mapambano yasiyokwisha na kundi la al-Shabaab wanaoaminika kuwa wanatetea imani na Waislam nchini Somalia.

Ni kwa mantiki hiyo, matukio ya mauaji kwa mikoa ya Pwani, Mtwara na Lindi wachambuzi wa masuala ya kiusalama wameishauri Serikali kutumia zaidi diplomasia kuliko nguvu.

680 Total Views 51 Views Today
1I Like It!

Sambaza!

Related Posts

Mafuta yanukia Zanzibar

Vita yanukia

Utapeli wa ardhi Dodoma

« Korea Kaskazini yaitisha Marekani

Siri ya mauaji
Copyright ©2017. Gazeti la Jamhuri
Nashangaa mods hii mmeifanya sub thread ilihali ndiyo yenye ujumbe unaoeleweka zaidi ya main thread.
 
Sasa ni wakati muafaka wa majeshi yetu kufuatilia kwa kina kujua undani wa hii habari na sio kuuwa uwa tu, watawaacha wahusika na kuuwa washukiwa, na matukio yataendelea sababu wahusika wapo wanadunda.
 
Wanabodi,

Kuhusiana na mauaji ya wale polisi 8 waliouwawa, Gazeti la Jamhuri Limeibua Siri ya Chanzo Cha Ajabu Sana kuhusiana na Mauaji hayo, kulikopelekea gazeti hilo kupongezwa!. Kuijua siri hiyo ni nini, tembelea Jamhuri kwenyewe.

Siri ya mauaji | Gazeti la Jamhuri

Gazeti hilo la Jamhuri limepongezwa kwa Investigative Story zinazo zama ndani ya tatizo na kuibua chanzo tofauti kabisa na kinachoripotiwa!, hivyo kushibisha kiu sii tuu ya wasomaji bali hata vyombo vya ulinzi kwa kuzama kwa undani zaidi kuhusu chanzo cha vifo vya polisi 8 wilayani Rufiji Mkoani Pwani, kwa kuchimbua chanzo halisi kilichopelekea vifo hivyo, wakati vyombo vingine vyote vya habari vimeishia katika kuripoti tukio tuu la nini kilichotokea bila kujishughulisha kubaini chanzo. Taarifa kama hiyo ya Jamhuri imeelezwa kuwa ni news tip nzuri kwa media nyingine na vyombo vya ulinzi na usalama kufuatilia zaidi.

Pongezi hizo zimetolewa na Mwanahabari Nguli na Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha SAUT, Mwanza, Dotto Emmanuel Bolondo ambaye ni muongozaji wa Kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari kinachorushwa na Kituo cha TV cha Star TV kila siku za Jumamosi asubuhi.

Kipindi cha leo kilijadili kuhusu vyombo vya habari vilivyoripoti kuhusu vitendo vya mauaji, utekaji na utesaji na kutolea mfano tukio la kutoweka kwa Ben Saanane na mauaji ya Polisi.

Vyombo vingi vimeishia kuripoti tuu kuhusu tukio lenyewe kwa mujibu wa taarifa rasmi za jeshi la polisi, lakini Gazeti la Jamhuri halikuishia kuripoti tuu tukio bali lilizama ndani kwa kujichimbia eneo la tukio na kutafuta chanzo na mlolongo wote, hivyo hayo mauaji ya polisi 8 ni climax tuu ya kukamilisha visa, mikado na visasi vya sababu zilizopelekea mauaji hayo.

Gazeti hilo limeibua mambo makubwa mazito kuhusiana na matukio hayo ambayo taarifa ya polisi imeeleza ni ujambazi lakini Jamhuri limeeleza kitu kingine kabisa kwa kuweka ushahidi wa mlolongo wa mauaji tangulizi ambayo hakuna kitu chochote kilichoporwa au kuibiwa.

Pia kipindi hicho kimetoa pongezi kwa kituo kimoja cha TV ambacho kiliandaa makala maalum kuhusu tukio hilo japo hakikujishughulisha kubaini chanzo.

Mwendeshaji kipindi, Dotto Bulendu ameshauri kunapotokea sintofahamu kama hizi, media zina jukumu la ziada sio tuu kuripoti kuhusu tukio bali kubaini chanzo hivyo kuripoti habari ambazo zitaisaidia jamii.

Bulendu amesema ripoti hiyo ya gazeti la Jamhuri imeirahisisha sana kazi ya uchunguzi hivyo inapaswa kutumika kama tip ya ground work ili kufanya developing story kwa media nyingine na followup kwa vyombo vya ulinzi na usalama.

Big Up kwa Gazeti la Jamhuri, Big Up kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari na Big Up kwa Mwendeshaji Kipindi, Dotto Bulendu.

Changamoto kwa media, kunapotokea majanga ya kitaifa au sintofahamu fulani, media zinawajibu sio tuu kuripoti tukio bali kuzama ndani kubaini chanzo, ili kuisaidia jamii kufanya preventive measures kuzuia tukio jingine kama hilo kwa ku deal na chanzo.

Jee kwa nyinyi wasomaji wa JF, media zetu zimekidhi haja katika kuripoti kuhusu tukio lile?.

My Take:
Kama mwandishi tuu wa habari za uchunguzi ameweza kuibui siri hii, vyombo vya ulinzi na usalama viko wapi na vinafanya nini hadi kushindwa kuyaibua haya?!.
Kwa maoni yangu

1. Ama vyombo hivi vya usalama vinayajua haya lakini vimekuwa compromised, hivyo vimenyamazia.

2.Ama vyombo vyetu vya ulinzi na usalama ni too incompetent kiasi kwamba vinazidiwa kete na waandishi mahiri.

3. Gazeti la Jamhuri ni wazushi tuu wametunga huu uongo na uzushi ili tuu kuuza gazeti huku nyuma wakituachia taharuki.

Jumamosi Njema
Paskali

Paskali ulitaka vyombo vya usalama vitangaze siri hizo??? Kuna uwezekano vyombo vya usalama vinajua siri nyingi tu zaidi ya hizo siri za Gazeti la Jamhuri
 
Kwa taarifa hiyo ya Jamhuri na namna wenye mamlaka ya kuhakikisha usalama watu wanavyo jibu ni wazi hatuko salama kama Taifa.

Idara ya usalama watu Taifa inafanya kazi gani sasa,kama mauaji yanatokea kila kukicha huko mkuranga,Rufiji na Kibiti?
Ina maana hawayafahamu Haya?
 
Back
Top Bottom