Fursa zilizopo Wilaya ya Muheza-Tanga

Fursa zilizopo Wilaya ya Muheza-Tanga

Kulangua machungwa na kutapeleka sehemu nyingine.Machungwa yao matamu sana,hiyo ni fursa moja,nyingine ngija waje wenyeji wa kule,akiwemo Mwana FA
 
Tanga ni pagumu sana kibiashara.

Ila kama una mtaji, Fanya hii
1. Viazi mviringo kutoka njombe
2. Biashara ya mbao kutoka njombe, Iringa au pale lushoto
 
Biashara common kwa maeneo mengi tz ni

Duka la vyakula-
hapa weka duka la jumla lenye kila kitu

Hardware-
miji mingi bado inajengwa weka hardware kubwa yenye kila kifaa jenzi kwa bei shindani na iliyozoeleka maeneo hayo

Huduma za kifedha
Kuwa wakala wa banks karibia zote na mitandao yote na capital kubwa na uwakala mkuu

Duka la nguo la jumla
Hapa weka nguo za eneo husika huko muheza ukiwawekea skinny na vimini hawavai

Duka la spare
Weka spare za kila aina na kwa bei kinzani hasa spare za pikipiki maana wenye magari muheza ni wachache
 
Mwenye kuifahamu biashara ya karafuu kutoka Amani Muheza tafadhali tupe madini
 
Mkuu hats Tanga maeneo ya Lushoto viazi ni vingi ukitoa viazi njombe kuleta Tanga ni hasara
Siyo viazi tu hata mbao zinapatikana lushoto na korogwe ila kiwango kikubwa cha mbao zinatoka iringa.


Hasara huwa inatengenezwa na muuzaji mkuu,

Mkuu, Nimekaa sana tanga miaka fulani , viazi vinatoka njombe kuja tanga.
 
Back
Top Bottom