Furaha ya maskini ni kusikia tajiri kapata matatizo na si kuona umaskini unaondoka katika maisha yake.

Mfano mmojawapo wa maskini ni wewe apo
Umeona sasa
Hapa umeshindwa kudadavua umasikini ni nini..... Hali ipi mtu akiwa nayo anakuwa kwenye kundi la masikini?
Je inawezekana Tajiri kupatikana kwenye nchi masikini?
Maswali ni mengi ya kujiuliza mzee
 
Human nature sio issues ya umasikini au utajiri

Binadamu Ana asili ya wivu na kutamani vizuri vyote apate yeye

Huwezi kuona kwa tajiri sababu umebase kwenye hoja ya Mali pekee...

Kuna matajiri kibao wanapita mtaani wanaona maskini wapo busy kufurahia maisha kwa michezo mbalimbali ,Moyoni wanatamani wangekywa na furaha kwa kiasi kile au amani kwa kiasi kile au afya kwa kiasi kile..

Kifupi banadamu anatamani ambacho hana sasa akishindwa kukipata asipokuwa makini wivu wake unampeleka vby..

Hapa hajalishi maskini au tajiri..

Hoja ya magufuli uliyoingiza ni kama umejitolea mfano mwenyewe kwenye uzi wako...

Magufuli alikuwa anasimamia haki au tuseme alikuwa anajinasibu km msimamia haki.Msimamia haki lazima apendwe haijalishi.kwahiyo mfano wa Magu umeweka mahali sio sahihi
 
Kabisa mkuu, hii ni sadaka muhimu umetoa leo.

Hata humu jf, hebu angalia hawa maskini wanavyohangaika kurusha threads kila sekunde wakionyesha matamanio yao ya kuona Mama Samia anashindwa katika suala la bandari. Si kingine kinachowasumbua bali ni umaskini tu unaoambatana na pepo chafu ulilosema mtoa mada.
Acha uchawa we mama
 
Back
Top Bottom