Furaha tupatazo JF na kusahau shida

Furaha tupatazo JF na kusahau shida

hahahaaa jamani lakini matukio yangu mengi ni kweli tupu edition ni kidogo sana
 
Madiskasheni mengi tu yana faida sana sijawahi kupata mawazo ya wadada wakifunguka zaidi ya humu......nawashukuru sana maana najifunza mengi sana!!!!!!!!!

Brothers wengi nao wanatoa experience a maisha so sio mbaya kuokota wenzako wanafanya nini kimaisha kwa ujumla!!!!! Hili linanipa sababu ya kuweka kila nijualo kuhusu maisha hata kama mengine ni kama yanagusa uhuru wangu ila kama naamini wengine watajifunza au nitakosolewa ili nijirekebishe nabwaga mchana kweupeeee mbuzi wanakula majani!!!!!

Utani na furaha yaani huwezi ingia ukabaki na stress zako au makunyanzi!!!!!!!

Kikubwa zaid nimeongeza ndugu na jamaa wengi sana na I hope kuna siku ntakutana nao live na kuwachukua kama ndugu kabisa wa karibu shida zao ziwe zangu na furaha yangu iwe yao!!!!!!!!

Yaani kwa ufupi ni kwamba sijawahi kujuta..............:grouphug:

That's real smart move mkuu
Appreciation is real real a strong feeling
Hongera bro hopeful wengi with we feel the same u do
Shukran sana mkuu
 
baba mwenye nyumba ikifika tarehe una hela yake HAKUELEWI

lakini unamlipa na kuendelea kukaa kwake which means?????

Sijakuelewa....una maanisha una hela yake au huna hela yake?

"Ukinijadili tu umenikubali"
 
Hahahaa..kumbe alhamisi ndo siri ya mafanikio....ntajitahidi na mimi nizae alhamisi...hahahaa hapo kwenye maziwa na chuchu aisee sijui..pengine ktk kutafuta-tafuta akajikuta amevumbua treasure muhim kama hiyo

Obvious hakua mlokole Wa kusubiria mpaka ndoa
Huyo alikua Wa "shake well before use" akaonja mpaka akavumbua hazina hyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom