Furaha tupatazo JF na kusahau shida

Evelyn Salt, Bujibuji na mwingine Majigo ambae nikiona Id yake.............
 
Sijajua kama wewe ni ke au me. Kama ni Ke ningekuomba PM ili tukadiskashen kwa kina zaidi. İla kwa ufupi, siri ya napopatia majibu ni kubwa sana. Hii tunaijua tuliozaliwa alhamis usiku kwa sababu lazima baba zetu waliwakabidhi mama zetu mimba za alfajiri kabla jogoo hajawika.

Baada ya kusema hayo naomba turudi kwenye mada, aliyejua maziwa alizıgunduaje chuchu??

Hahahaa..kumbe alhamisi ndo siri ya mafanikio....ntajitahidi na mimi nizae alhamisi...hahahaa hapo kwenye maziwa na chuchu aisee sijui..pengine ktk kutafuta-tafuta akajikuta amevumbua treasure muhim kama hiyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom