Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,338
- 17,875
#Bazazmkubwa Kaizer nipo humuhumu. Leo nimepewa likizo ndo maana nipo
Hebu mtaje anayekukatalia ay kukubali likizo zako
Last edited by a moderator:
#Bazazmkubwa Kaizer nipo humuhumu. Leo nimepewa likizo ndo maana nipo
Sijakuelewa....una maanisha una hela yake au huna hela yake?
"Ukinijadili tu umenikubali"
Just a side note, kijana wangu wa std four kanielezea female reproductive system yote, mtaala umebadilika siku hizi umbuje?
kwamba mods wanatueka katika rules kama za mwenye nyumba hutaki nenda kwingine(fb) au jenga kwako(fungua blog)
UKIKUBALI KUOLEWA LALA BILA NGUO
Kama yuko hizi academia hilo lisikushangaze umbuje.
Sijui kuhusu syllabus ila reproductive health wanafundishwa hata na hizi NGO zinazoota kila uchao kupambana na mimba za utotoni na maambukizi ya STI's
Mie shemejio kwa nani? unikome...
Anglia usijikojolee tu
Yaani ndo izo izo umbuje...
Mimi nimepata mke kupitia jf, what more can you ask...labda gunia la chawa!!teeh!!
Anataka kukunyima nn?
Obvious hakua mlokole Wa kusubiria mpaka ndoa
Huyo alikua Wa "shake well before use" akaonja mpaka akavumbua hazina hyo
Haka kabazazi kachunge sana. Bora mie babu nguvu sina.