Furaha tupatazo JF na kusahau shida

hahaha..umenichekesha !! Lakini hata vijiweni kila mtu ana mtuwe, Kuna watu uko free kuwataja coz mnaendana, hata kwa stories tu..
Sawa bhana lakini hebu ona ndege hawa Nyangenyange na kunguru weusi........Kunguru kila mmoja na lwake lakini kwenye matatizo huwa pamoja.....tofauti na nyangenyange wanakuwa pamoja lakini kwenye matatizo kila mmoja na lwake.........

Mambo vipi MJINI CHAI. umepotea sana swahiba.
mbona nipo mkuu...ila wakati mungine mambo yananibana........
 
asante sana mungu kutuletea hawa watu wanaotajwa tajwa kwakweli wanatufanya tucheke kila kukicha.
 
asante sana mungu kutuletea hawa watu wanaotajwa tajwa kwakweli wanatufanya tucheke kila kukicha... mwabheja sana..!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom