Furaha tupatazo JF na kusahau shida

Furaha tupatazo JF na kusahau shida

Hebu ngoja tufanye pamyuteshen na kombineshen

Kama Vaislay ni twin wa Ennie
na kama Ennie ni umbuje wa Kaizer
na kama Kaizer ni homeboy wa Asprin aka mimi ODM.....

Kwa kutumia Archimedes Principle tunaeza kukonkludi kuwa upthrust ya kipokea mkojo cha Vaislay ni directly proportional na kimwaga mkojo cha odm mimi.

Hahahahahaha. Mangi unajihalalishia?
 
Last edited by a moderator:
nipenda jf na mods kwa ujuMLA
NAIPENDA TANGU NIMEJIUNGA NISHAWACOMVIC WATU KAMA 10 NA WAMEJIUNGA

yaani job mates karibu wote wanaipenda ila hatufahamiani maana wanalinda ID ZAO KULIKO KAZI ZA BOSI
 
Umenena vema umbuje!
Ni vema mtu kusubiri wakati muafaka,kwa huo upweke utaondoka!!

Just a side note, kijana wangu wa std four kanielezea female reproductive system yote, mtaala umebadilika siku hizi umbuje?
 
nipenda jf na mods kwa ujuMLA
NAIPENDA TANGU NIMEJIUNGA NISHAWACOMVIC WATU KAMA 10 NA WAMEJIUNGA

yaani job mates karibu wote wanaipenda ila hatufahamiani maana wanalinda ID ZAO KULIKO KAZI ZA BOSI

Hao Mods ukiharibu watakuban tu muulize lara 1
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom