mhhhh can u fafanua tukupe hongera
Neither of the two umbuje.
Hivi hujagundua tu kuwa hommie wako akiwa around mambo yanaenda kombo?
Am sad......
mkuu, wala sitanii..ila ufafanuzi utakuja soon!!
Umbuje wa hommie, eti watu wanasema mimi ni nani?
Na wewe unasema mimi ni nani?
mbona hujatokea saaasa au ulivyokichapa hasira zimeisha??
Watu wanasema wewe ni ODM.
Mimi nasema wewe ni hommie wa umbuje wangu.