gwijimimi
JF-Expert Member
- Sep 24, 2011
- 7,344
- 3,623
Hahahaaa ...mkuu kwani walioko kwenye ndoa hawavumbui?
Inategemea na kilichompa raha
Hao Wa kusali kabla ya tendo?I don't think so hata kulambana sidhani itakua kupata ramani ya uvinza?
Chapchap masai dada nasubiria majibu kwa ajili ya kumbukumbu za chama.
Haka kabazazi kachunge sana. Bora mie babu nguvu sina.
najua lazima utachakachua majibu
sijaolewa/sina mchumba(alinipa kibuti nilimpata humu kabla hatujaonana akaniacha)/sio mchepuko wa mtu/sina mwanaume/sina mvulana na mwisho NALALAGA NA DERA
Ramani ya uvinza wanaijua wachimbaji teh teh
Raha ina uhusiano na mkojo?
Unataka acheke akiwa anaumia?
Kuna maumivu mengine matamu.
Shikamoo babu
Kuna maumivu mengine matamu.
Kwa ajili ya kumbukumbu zetu tu...