Furaha tupatazo JF na kusahau shida

Oooh my sweet twin, ....Thank you, u always makes me feel sooo shining....

Hebu ngoja tufanye pamyuteshen na kombineshen

Kama Vaislay ni twin wa Ennie
na kama Ennie ni umbuje wa Kaizer
na kama Kaizer ni homeboy wa Asprin aka mimi ODM.....

Kwa kutumia Archimedes Principle tunaeza kukonkludi kuwa upthrust ya kipokea mkojo cha Vaislay ni directly proportional na kimwaga mkojo cha odm mimi.
 
Last edited by a moderator:
mkuhu you're right mkuhu humu happy sanah mkuhu mahana ninahona ninachelewah kujihunga mkuhu
 
Oooh my sweet twin, ....Thank you, u always makes me feel sooo shining....

Hebu ngoja tufanye pamyuteshen na kombineshen

Kama Vaislay ni twin wa Ennie
na kama Ennie ni umbuje wa Kaizer
na kama Kaizer ni homeboy wa Asprin aka mimi ODM.....

Kwa kutumia Archimedes Principle tunaeza kukonkludi kuwa upthrust ya kipokea mkojo cha Vaislay ni directly proportional na kimwaga mkojo cha odm mimi.

hommie Kaizer hebu konkludi hapa....
 
Last edited by a moderator:
daaa wajameni mi nikisoma coment za wandugu humu napata faraja sana,nacheka mpaka machoz kuna watu wana utani humu cjui wanatoaga wapi,majibizano ya humu utadhan watu wanajuana kwa sura,michango ming ya kina babu Aspirin,kaizer,kongosho,king'ast,chaming lady,karucee,na wengne wengi kweli mmenifanya nipende jf sana,japo kule siasan hua siwaoni,long live kwenu wote wana MMU.
 
Hebu ngoja tufanye pamyuteshen na kombineshen

Kama Vaislay ni twin wa Ennie
na kama Ennie ni umbuje wa Kaizer
na kama Kaizer ni homeboy wa Asprin aka mimi ODM.....

Kwa kutumia Archimedes Principle tunaeza kukonkludi kuwa upthrust ya kipokea mkojo cha Vaislay ni directly proportional na kimwaga mkojo cha odm mimi.

hommie Kaizer hebu konkludi hapa....

Hilo somo nna F
 
ha ha ha ha ha ha mkuu taratibu na hzo kanun zako umenipa raha sana.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaa..kumbe alhamisi ndo siri ya mafanikio....ntajitahidi na mimi nizae alhamisi...hahahaa hapo kwenye maziwa na chuchu aisee sijui..pengine ktk kutafuta-tafuta akajikuta amevumbua treasure muhim kama hiyo

Utajitahidi uzae Alhamis.... That makes you a woman. Lucky me.... Yani nna zali kama bunge la katiba. Hebu twende PM tukasutane vikojoleo vyetu vipate mnasano allowance.
 
Nafurahishwa sana na michango ya watu wengi humu ukiingia jf lazima ucheke
 
Hebu ngoja tufanye pamyuteshen na kombineshen

Kama Vaislay ni twin wa Ennie
na kama Ennie ni umbuje wa Kaizer
na kama Kaizer ni homeboy wa Asprin aka mimi ODM.....

Kwa kutumia Archimedes Principle tunaeza kukonkludi kuwa upthrust ya kipokea mkojo cha Vaislay ni directly proportional na kimwaga mkojo cha odm mimi.

Umbuje hii Archimedes Principal ukiibariki ipite itafata Law of Floatation na hatimaye ataleta Cross Multiplication!!
Unamjua hommie wako!!
 
Hahahah akifanya cross multiplication then hatutakuwa na jinsi, tutafanya intergration bila kujall limits. Kama nakuona umbuje wa hommie unavyotuwama kwenye kumbatio langu.
 
Hahaaaaa!
Umbuje Kaizer hii inaruhusiwa kweli?
I can smell varangati ambalo bila CMA kuingilia siuoni muafaka!!!
 
Last edited by a moderator:
Hebu ngoja tufanye pamyuteshen na kombineshen

Kama Vaislay ni twin wa Ennie
na kama Ennie ni umbuje wa Kaizer
na kama Kaizer ni homeboy wa Asprin aka mimi ODM.....

Kwa kutumia Archimedes Principle tunaeza kukonkludi kuwa upthrust ya kipokea mkojo cha Vaislay ni directly proportional na kimwaga mkojo cha odm mimi.

hommie Kaizer hebu konkludi hapa....

mwite na hubby wangu aje akonkuludi
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom